×

Airtel Money Yagawa Gawio la Bilioni 3.6 Kwa Wateja Wake

Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel Tanzania kupitia huduma ya Airtel Money leo Jumatano Septemba 9 2020, Dar es Salaam...

READ MORE

JPM Geita: Miaka 5 ijayo Tutatengeneza Ajira Milioni 8 -Video

MGOMBEA wa urais kupitia  Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Magufuli leo Jumatano Septemba 9, 2020, amewaambia wananchi wa Geita katika...

READ MORE

Kiba, Amina Wawafokea Mashabiki!

WANATUFOKEA! Ndivyo wanavyosema wajumbe kwenye mitandao ya kijamii baada ya mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh ‘King Kiba’ kuonekana kwenye...

READ MORE

Peaky Blinders Yarejea Mtandaoni Kwenye Meridian Pekee!

Peaky Blinders imerejea tena! Japokuwa, sio ile inayosubiriwa ya msimu wa 6. Kiuhalisia, kionjo kimeshatoka na kuanza kwa mchakato wa...

READ MORE

Bolt Yazindua Huduma Mpya ya Usafiri Arusha, Mwanza, Dodoma

Kampuni inayoongoza kwa utoaji huduma ya usafiri barani Ulaya na Afrika (BOLT), imezindua huduma mpya, nafuu ya usafiri inayofahamika kwa...

READ MORE

NMB Yafanya Mapinduzi Makubwa ya Malipo Nchini

  Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya Mastercard imezindua matumizi ya kadi za kisasa zaidi za kieletroniki ambazo...

READ MORE

Wateja wa Vodacom M-Pesa Kunufaika na Gawio la Bilioni 3.5 za Faida ya M-Pesa

Wateja  wa Vodacom M-Pesa takribani milioni 8, kuanzia leo watapata sehemu ya faida ya shilingi bilioni 3.5 ikiwa ni gawio...

READ MORE

TMA Yatabiri Upungufu wa Mvua

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa ushauri wa mvua za vuli na kusema kuwa maeneo mengi nchini yatakuwa...

READ MORE

Mfungwa Aliyemshambulia R Kelly Adai Alitumwa na Serikali

HATIMAYE mfungwa aliyemshambulia mwimbaji wa RnB duniani, Robert Kelly. maarufu R Kelly wakiwa gererani amejitokeza na kuzungumza sababu hasa za...

READ MORE

Rais Aongoza Maombolezo Kifo cha Samaki ‘Mafishi’

ZAMBIA inaomboleza kifo cha samaki wake mkubwa katika Chuo Kikuu cha Umma cha Copperbelt (CBU).  Samaki huyo aliyejulikana kama ameombolezwa...

READ MORE

Tanasha: mahari Yangu Inakuja Soon

STAA wa muziki kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch, amefunguka kuwa, hivi karibuni anaweza kutolewa mahari na kuwa mke wa...

READ MORE

Malaika; Mwana Mpotevu Amerudi!

Diana Exavery almaarufu Malaika, ni mwanamuziki mwenye kipaji cha kipekee kwenye Bongo Fleva. Mwaka 2013, ndipo Chege alisikia sauti yake,...

READ MORE

Esma: Najua Watu Wanafurahia Ndoa Yangu Kuvunjika

ULE usemi; ‘wataachana tu’ wakati wa kufungwa kwa ndoa ya dada wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 9, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 9, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Wafungwa Wafa Njaa, Kikombe cha Uji kwa Siku 3

WAFUNGWA katika Gereza la Bunia mkoani Ituri, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,  wanakabiliwa na baa la njaa, baada...

READ MORE

Miujiza Ndoa ya Mondi na Zuchu

LICHA ya mwenyewe kutoanika kinaga ubaga kuhusu mkewe mtarajiwa, lakini kuna mambo yameanikwa ambayo yanashangaza endapo staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Maelfu Wafurika Kampeni za Mama Samia Kigamboni

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara ya kuomba kura kupitia Chama...

READ MORE

Sarpong, Tonombe Wampa Jeuri Niyonzima Yanga SC

KIUNGO mchezeshaji fundi, raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, ametamba kuwa wana kila sababu ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Marekani Yawataka Watanzania Kushiriki Uchaguzi

Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Dkt. Donald Wright amewataka Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu...

READ MORE