×

Mashabiki Wajishindia Tiketi Kutoka Spoti Xtra Uwanja wa Mkapa

Mapema leo Agosti 30, 2020 Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony ameongoza zoezi la kuwakabihi tiketi za...

READ MORE

Carlinhos, Sarpong Wazoa Bil 2.5 Yanga

ACHA kabisa yale mapokezi ya kishindo waliyofanyiwa mashine mpya za Yanga pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

READ MORE

Yanga SC: Njooni Muone Mavituz Yacarlinhos

WAKATI leo Jumapili Yanga wakiwa na kilele cha Wiki ya Mwananchi, ofi sa habari wa timu hiyo, Hassani Bumbuli amewaomba...

READ MORE

Kisa Messi, Man City Yawatoa Kafara Nyota

MAN City imeripotiwa kuwa ipo tayari kuipa Bar-celona pauni mil-ioni 89.5 pamoja na wachezaji watatu; Bernardo Silva, Gabriel Jesus na...

READ MORE

Carlinhos Kumbe Amekataa Ofa Ureno

IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga raia wa Angola, Carlos St’enio Fernandez ‘Carlinhos’ amekataa ofa ya kwenda kucheza soka...

READ MORE

Nafasi ya kazi 7 e-Government Authority (eGa), Bussiness analyst

POST ICT OFFICER GRADE II (BUSINESS ANALYST) – 7 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER e-Government Authority (eGa) APPLICATION...

READ MORE

Chama Afichua Siri Ubora wa Bwalya

KIUNGO wa Simba na mchezaji bora wa msimu uliopita, Clatous Chama amesema kuwa siri ya ubora unaoonekana kwa kiungo mpya...

READ MORE

Gigy Amvua Nguo Nwana’ke!

Dar: Siku chache baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kutengena na aliyekuwa bwana’ke, Hunchy...

READ MORE

Pogba Ashtua Kukutwa na Corona

KIUNGO Paul Pogba amewashtua wadau wengi wa soka baada ya kubainika kuwa na Virusi vya Corona huku Ligi Kuu ya...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Agosti 30, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 30, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Tanasha Awajia Juu Waliomtusi!

Dar: Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch amewajia juu mashabiki waliomtusi baada ya kuomba pesa...

READ MORE

Yanga: Tulimtaka Chama Siyo Bwalya

MJUMBE wa Kamati ya Usajili wa Yanga na Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, amesema hawakuwa na mpango kabisa...

READ MORE

Magufuli Aahidi Kununua Ndege 5 Akishinda Urais 2020

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli ameahidi kuwa endapo atashinda,...

READ MORE

Sarpong, Carlinho Watupia Mazoezini Yanga

AMA kweli Yanga inautaka ubingwa msimu ujao, hiyo ni baada ya kuukosa kwa misimu mitatu mfululizo jambo ambalo limefanya safari...

READ MORE

Kampeni za Uchaguzi Sio Mwanya wa Kufanya Ujangili

Simiyu. Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu SACP Henry Mwaibambe, amewatahadharisha wananchi kujihusisha na vitendo vya ujangili kwa kudhani kuwa...

READ MORE

JPM Alivyosakata Rumba na Wasanii Dodoma – Video

Mgombea wa Urais CCM Dkt. John Magufuli akicheza na wanamuziki wa Bendi ya TOT mara baada ya kuwasili katika uwanja...

READ MORE

Mchungaji wa KKKT Ashikiliwa na Takukuru kwa Kutoa Mikopo Umiza

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara inamshikilia mchungaji kiongozi wakanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

READ MORE

Jeshi la Yanga Limekamilika, Kesho Kukiwasha Uwanja wa Mkapa

JESHI limekamilika, hivi ndivyo unaweza kusema baada ya uongozi wa Yanga, jana kumtangaza Mserbia Zlatko Krmpotić kuwa ndiye kocha mkuu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE