×

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 14, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 14, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Amnadi Dkt. Kimei Jimbo La Vunjo

MGOMBEA Ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Vunjo Dkt .Charles Kimei jana Jumamosi amewaomba wananchi wa...

READ MORE

Watu 50 Wahofiwa Kufa kwa Kufukiwa na Kifusi Machimboni

Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kupoteza maisha, baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa kwenye machimbo ya dhahabu katika eneo la...

READ MORE

Umati Ulivyofurika Uzinduzi wa Kampeni Za Fella Kilungule, Wasanii Kibao

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platniumz’ jana alisababisha mafuriko makubwa ya watu wakati akizindua kampeni zake...

READ MORE

NEC: Rufaa Za Wagombea Ubunge Na Udiwani Leo

Tume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wanahisa Waongeza Mtaji Mkombozi Commercial Bank, Wateja Waula

Benki ya Mkombozi Commercial  inayomilikiwa na Kanisa Katoliki pamoja na wanahisa yenye Makao Makuu Msimbazi Center Jijini Dar, jana Septemba...

READ MORE

Video Mpya: Jah Master – Hello Mwari Remix ft. Haitham Kim

 Msanii wa Bongo Fleva, Haitham Kim amefanya vizuri sana kwenye video ya wimbo wa ‘HelloMwari Remix’ aliyoshirikishwa na msanii...

READ MORE

JPM na Museveni Wasaini Mkataba Ujenzi Mradi wa Bomba la Mafuta -Video

  Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda  leo  Septemba 13, 2020 wamesaini makubaliano ya kuanza...

READ MORE

Kazi Ndo Imeanza Yanga, Leo Kukipiga na Mbeya City

KAZI ndiyo imeanza kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia kuirudisha timu hiyo kwenye furaha kwa kuanza...

READ MORE

Kocha Simba Amtaja Mchawi Wao

WAKATI jana Jumamosi Simba ikibanwa mbavu na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, Kocha Mkuu wa Simba, Sven...

READ MORE

Senzo Aingilia Kati Jezi za Yanga

MSHAURI wa Yanga, Senzo Mazingiza raia wa Afrika Kusini, ameibuka na kusema kuwa utengenezaji wa jezi za timu hiyo umetumia...

READ MORE

Majaliwa: Chagueni Kiongozi Atakayelinda Amani

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanaTanga na Watanzania kwa...

READ MORE

Wanafunzi wa Watanzania Kushindana Kuiwakilisha Afrika Mashindano ya TEHAMA ya Huawei

Wanafunzi wa Tanzania ni miongoni mwa washiriki wa fainali za Mashindano ya kimataifa ya TEHAMA kwa nchi za Kusini mwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashauri Hospitali zinazotibu Saratani kuwa na Wodi Maalum

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza hospitali zote za rufaa ambazo zinatoa matibabu ya ugonjwa wa saratani kwa watoto...

READ MORE

Mgombea Ubunge Mmoja Na Madiwani 34 Wapitishwa Kugombea Na NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika kikao chake cha Septemba 10, 2020 imepitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 13, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 13, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

OFM Yanasa Siri Bifu la Wema, Batuli

UNAJUA bifu la msanii Wema Sepetu na Yobnesh Yusuph Hassan ‘Batuli’, lililoteka mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita, limetokana...

READ MORE

Zari Yamfika Mazito Kutoka Kwa Wananzengo

Mwanamama mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa muziki barani afrika, Nasibu abdul...

READ MORE

FT: Mtibwa 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Tanzania Bara

MCHEZO kati ya Mtibwa Sugar na Simba Uwanja wa Jamhuri, Morogoro umekamilika kwa timu zote kufungana bao 1-1. Simba ilianza...

READ MORE