×

Wanawake Brazil Kulipwa Sawa na Neymar

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa mishahara sawa na wachezaji wa timu ya wanaume,  ametangaza Rais...

READ MORE

Live: Kampeni Za Magufuli Afika Musoma Kunadi Sera Zake Kwa Wananchi

 Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba 5, 2020 DKT Magufuli anaendelea na...

READ MORE

Mbelgiji Simba Akesha Siku Mbili Akiwasoma Ihefu

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema ilibidi akeshe siku mbili akiwa anazisoma mbinu za Ihefu SC kabla ya kesho...

READ MORE

Aunty, Shamsa Waendeleza Vita ya Majibizano…

IKIWA ni saa chache baada ya mwanadada staa wa Bongo Fleva, Shamsa Ford, kudai kuwa anashangazwa na rafiki yake Aunty...

READ MORE

TBC na Chadema Wamaliza Mgogoro Wao -Video

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) jana Ijumaa Septemba 4, 2020 limefanikiwa kumaliza mgogoro uliokuwapo kati ya Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Ratiba Kampeni Wagombea Urais, Makamu Hii Hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini  (NEC) leo Septemba 1, 2020 imetoa ratiba ya kampeni za wagombea wa urais na...

READ MORE

Agnes Almasy wa ITV Kuagwa Leo

ALIYEKUWA mwandishi na mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy, anatarajiwa kuagwa leo Septemba 5, 2020, jijini Dar es Salaam na baadaye...

READ MORE

Misri: Shirikisho La Soka La Afrika Lathibitisha Kombe Kupotea

Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri, EFA, Ahmed Shobir amesema kombe la AFCON...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 4, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 4, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mbwa Watumika Kugundua Covid-19

CHUO Kikuu cha Namibia, kitengo cha dawa ya mifugo, kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa. Mpango wa nchi...

READ MORE

CAMFED Yatoa Elimu Ya Biashara Kwa Wasichana Toka Wilaya Tano

      SHIRIKA la CAMFED Tanzania limetoa mafunzo ya elimu ya biashara na ujasiriamali kwa wasichana kutoka katika Wilaya tano...

READ MORE

Kisinda, Carlinhos Full Mzuka Yanga

UONGOZI wa Yanga upo katika hatua za mwisho kukamilisha kibali cha kocha wao, Mserbia, Zlatico Krmpotick na wachezaji wao wapya...

READ MORE

Patricia Hilary alivyoiteka Shoo ya Jide Mlimani City

Mjeshi Mstaafu wa JKT na Muimba mipasho mkongwe, Patricia Hilary usiku wa kuamkia leo ni kama aliiteka shoo ya mkongwe...

READ MORE

Shoo Ya Jide ilivyofunika Mlimani City Alfajili Ya Leo

Mkongwe wa Bongo Fleva, Lady Jaydeee Komando, usiku wa kumkia leo alipiga bonge la shoo kwenye Ukumbi wa Mlimani City...

READ MORE

Shamsa Ford ‘Amfokea’ Aunty kwa Kupenda ‘Viserengeti’

MSANII wa filamu za Bongo, Shamsa Ford, ameeleza kushangazwa na kusikitishwa kwake kutokana na kile alichokidai kuwa msanii mwenzake, Aunt...

READ MORE

Komando Jide Alivyoingia Mlimani City Kimadaha Shoo Ya Miaka 20

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee au Komando leo aliingia kimadaha ya aina yake ndani...

READ MORE

Dodoma: Mtoto Aishi na Jiwe Puani Miaka 12

MADAKTARI wa magonjwa ya sikio, pua na koo (E.N.T) katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma wamefanikiwa kumfanyia upasuaji mtoto...

READ MORE

Kemikali nyingine za milipuko zagunduliwa bandari ya Beirut

JESHI la Lebanon limesema limegundua tani zaidi ya nne za madini ya kemikali ya ammonia nitrate karibu na lango la...

READ MORE

Lissu Aahidi Bima za Afya Nchi Nzima

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, ameahidi kuwa...

READ MORE