×

Mugalu Arejea Fasta Dar

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, juzi alirejea nchini akitokea nyumbani kwao DR Congo alipokwenda kumaliza matatizo ya kifamilia.Mugalu...

READ MORE

Magufuli: Hatuchagui Sura, Mchumba Wala Mme – Video

MGOMBEA urais Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli, leo Agosti 4, 2020, ameendelea na kampeni za kuwania nafasi hiyo...

READ MORE

Simulizi Mwalimu Kuuawa Kikatili Inasikitisha

SIMULIZI ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai, Kata ya Chala, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabitha Mwanyanje (29) aliyeuawa kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kaseke: Sipotayari Kukaa Benchi Yanga

NAHODHA wa sasa wa Yanga, Deus Kaseke, amefunguka kwamba, amejipanga kuendana na uwepo wa wachezaji wengi wapya ndani ya klabu...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 4, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 4, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mrundi: Kisinda Ataibeba Yanga

KOCHA Mkuu wa Aigle Noir ya Burundi, Gustave Niyonkuru, amevutiwa na kiwango kilichooneshwa na kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Mkongomani,...

READ MORE

Kocha Simba Awapiga Mkwara Yanga

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema malengo makubwa kwenye mechi zake za Ligi Kuu Bara ni kukusanya pointi katika...

READ MORE

Waumini, Viongozi Wamkimbia Askofu Wao Baada ya Kumuoa ‘Changudoa’

Askofu mmoja wa kanisa la Kipentekoste huko Magharibi mwa Kenya, amewagawanya waumini wake, baada ya kuamua kumuoa mwanamke mmoja ambaye...

READ MORE

Azam Yapata Dawa Ya Kuzipiku Simba, Yanga

TIMU ya Azam FC imejinadi kuwa tayari imeshapata dawa ya mechi za mikoani ili kwenda sambamba na Simba na Yanga...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji wa ITV Agnes Almas Afariki Dunia

MWANDISHI wa habari na mtangazaji wa kituo cha televisheni cha ITV, Agnes Almas,  amefariki dunia ghafla mchana wa leo Alhamisi,...

READ MORE

Magufuli Ampigia Chapuo Katambi Ubunge – Video

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  John Magufuli,  leo  Septemba 03, 2020, amewaomba wananchi wa Shinyanga kumpa kura mgombea...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mume wa Shamimu Mwasha Asahau Neno la Siri Aomba Akabidhiwe CCTV Camera

  Washtakiwa wawili ambao ni Mfanyabiashara, Abdul Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha wanaokabiliwa na mashitaka ya kukutwa na dawa za...

READ MORE

Makada Chadema Wadaiwa Kuchoma Ofisi za Chadema

POLISI Mkoa wa Arusha imewakamata watu watatu, wawili wakiwa ni madereva na ofisa uhamasishaji, wote wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Mapigo ya Kike Yamponza Rayvanny

  Staa wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, anadaiwa kubadilika kidogokidogo kila kukicha...

READ MORE

Rasmi: Manchester United Yamsajili Van De Beek

Klabu ya Manchester United ya England imekamilisha usajili wa Mchezaji Donny van de Beek (23) kwa ada ya Paundi Milioni...

READ MORE

Tobi Peanut Butter; Ukianza Kuitumia, Kamwe Hutaiacha!

SIAGI YA TOBI, ni siagi iliyotengenezwa kwa kutumia mashine na teknolojia ya kisasa, huku malighafi yake ikiwa ni karanga halisi...

READ MORE

Wagombea 1,000 Chadema Waliokatwa Wakusanyika Dodoma

ZAIDI ya wagombea ubunge na udiwani 1,000 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo jijini hapa wakisubiria hatma yao...

READ MORE

Kagere: Walianza na Hirizi, Sasa Wanasema Nimemdunda Kocha

MSHAMBULIAJI wa klabu bingwa Tanzania Bara (VPL) na Kombe la Shirikisho (ASFC) Simba SC, Meddie Kagere amesema amesikitishwa na taarifa...

READ MORE