×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na IjumaaWikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU SENZO

“‪‬Tumetoka mbali na bado safari inaendelea; tumepita mengi Wanasimba wenzangu. Nawaomba Wanasimba wote mtulie. SIMBA SC ni kubwa kuliko mtu...

READ MORE

Alichokisema Haji Manara, Senzo Kwenda Yanga

BAADA ya Senzo Masingiza aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba kujiuzulu ndani ya klabu hiyo huku ikielezwa kuwa amepata kazi ndani...

READ MORE

Breaking News: Senzo Mbatha CEO Mpya Yanga

ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mbatha ameingia Makubaliano na Klabu ya Wananchi Yanga SC kuhudumu kwenye nafasi...

READ MORE

Morrison Apewa Miaka Miwili, Yanga Watoa Tamko

MORRISON is red! Ndiyo kauli iliyoteka mitandao ya kijamii na vijiwe vyote vya soka jana mchana ikiwa ni muda mchache...

READ MORE

Senzo Mazingisa Ajiuzulu Utendaji Mkuu Simba

Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Senzo Mbatha ametangaza kujiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo,leo Agosti 9, 2020. Senzo...

READ MORE

Majima Wagombea Ubunge Walioteuliwa Kupeperusha Bendera ya Chadema

LEO Jumapili, Agosti 9, 2020, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya awamu ya kwanza wagombea walioteuliwa kugombea...

READ MORE

Kibwana Shomari Atua Yanga, Asani Miaka Miwili

Klabu ya soka ya Yanga leo Agosti 9, 2020 imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, ...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Live: Waziri Mkuu Ampa Harmonize Pesa, Amtania Mrisho Mpoto – Video

 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Agosti 09, amekutana na kufanya mazungumzo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu, katika...

READ MORE

Video: Maelfu Wawapokea Maalim Seif, Membe, Zitto Kabwe Zanzibar

 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiwa pamoja na wagombea Urais wa Zanzibar na Tanzania, Maalim Seif na Bernard...

READ MORE

Video: Mkutano Wa Ccm, Baraza Kuu La Jumuiya Ya Wazazi

 Baraza kuu la jumuiya ya wazazi la CCM limefanya mkutano wake leo Agosti 09, huko jijini Dodoma.. ⚫️ Kwa...

READ MORE

Mfugaji Aliyedaiwa Kuuawa na Askari TANAPA Azikwa

MFUGAJI Ulandi Dotto (28) mkazi wa Kijiji cha Mwanavala, Mbarali mkoani Mbeya, anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa...

READ MORE

Farid na Yanga ni Suala la Muda Tu

INAELEZWA kuwa Yanga iko kwenye mazungumzo mazuri na mchezaji wa zamani wa Azam na CD Tenerife ya Hispania, Farid Mussa...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko, Ateua DC Mpya Ilala

Rais Dkt. John Magufuli leo Jumapili, Agosti 9, 2020 amefanya mabadiliko na kumteua Bw. Ngw’ilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Kortini Madai ya Kukutwa na Tausi

RAIA sita wa China wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, ikiwamo kuongoza genge la uhalifu na kukutwa na...

READ MORE

Mgombea Urais Atinga NEC na Bajaji Kuchukua Fomu

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia Makini, Sesilia Mmanga ametinga na msafara wa bajaji katika Ofisi yaTume ya Taifa ya...

READ MORE

Jeshi Jipya Yanga Hili Hapa …Eric Rutanga,Tuisila na Tonombe

UMATATU iliyopita, Yanga ilitangaza kuachana na wachezaji wake ambao wengi wao mikataba yao imemalizika. Wachezaji walioachwa ni Mrisho Ngasa, David...

READ MORE

Visanduku Vyeusi vya Air India Vyapatikana

WAPELELEZI wamepata visanduku vyeusi vya ndege iliyoanguka katika uwanja wa ndege jimbo la Kusini mwa India Kerala na kusababisha vifo...

READ MORE

Juventus Yamtangaza Pirlo Kuwa Kocha Mkuu

KLABU ya Juventus imemteuwa mchezaji wao wa zamani Andrea Pirlo kuwa kocha wa timu hiyo, saa chache baada ya Maurizio...

READ MORE