×

Balaa! Mapokezi ya Carlinhos Yatetemesha Yanga – Video

  KIUNGO fundi, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo ‘Carlinhos’ (25), amewasili rasmi nchini tayari kuanza majukumu yake ndani ya...

READ MORE

NEC Yamteua Muttamwega Kugombea Urais Kupitia SAU

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa M/kiti wake, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa...

READ MORE

Trump Ateuliwa Kuwania Urais Kupitia Republican

CHAMA  cha Republican nchini Marekani jana kimemuidhinisha Donald Trump kuwa mgombea wake wa kiti cha urais katika uchaguzi wa Novemba...

READ MORE

Cecilia Mwanga Kugombea Urais Dem. Makini – Video

MWENYEKITI  wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Dada wa Kazi Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mtoto

MTUMISHI wa kazi za ndani Ashura Suka (15) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji...

READ MORE

Maganja Ateuliwa na NEC Kugombea Urais – Video

MWENYEKITIwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa...

READ MORE

NEC Yamteua Lipumba Kugombea Urais – Video

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa...

READ MORE

Membe Arejesha Fomu ya Urais, NEC Yamteua – Video

TUMEya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar...

READ MORE

 Balama Kuzikosa Mechi Nne Yanga

  KIUNGO wa Yanga, Balama Mapinduzi, anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya wiki nne kutokana na kutibu mguu wake wa kushoto...

READ MORE

Mali: Jeshi Laigomea ECOWAS Kumrudisha Rais Keita

MAZUNGUMZO nchini Mali yanayolenga kutatua mzozo wa kisiasa unaoendelea kufuatia mapinduzi yaliofanyika wiki iliopita yamemalizika bila makubaliano huku viongozi wa...

READ MORE

Shambulio Burundi: Watu 15 Wauawa

TAKRIBAN watu 15 wameripotiwa kuuawa na wakati watu wenye silaha walipofanya mashambulio Kusini mwa Burundi.   Mapigano hayo yaliyotokea katika...

READ MORE

Tanzia: Rais Pascal Lissouba Afariki Dunia

RAIS  wa zamani wa Congo/Brazaville Pascal Lissouba, amefariki dunia nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 88, chama chake kimeliambia...

READ MORE

Ronaldinho Aachiliwa Huru Paraguay

  MCHEAJI wa soka wa Brazil,  Ronaldinho,  ameachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani nchini Paraguay baada ya kufungwa kwa kumiliki paspoti...

READ MORE

Mwanza: Kichanga cha Wiki Mbili Chapotea Hospitalini

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linachunguza tukio la kupotea katika mazingira ya kutatanisha kichanga cha wiki mbili ndani ya wodi...

READ MORE

Bwalya Akomba Milioni 138 Simba SC

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Larry Bwalya, ameikamua timu hiyo Sh milioni 138 kama ada ya usajili akisaini mkataba wa...

READ MORE

JPM Akagua Magari Yaliyotaifishwa, Atoa Maagizo!

RAIS. John  Magufuli amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya uhujumu uchumi, na kisha kuhifadhiwa katika kituo cha...

READ MORE

NEC Yamteua Shibuda Urais ADA-TADEA, Atoa Ujumbe – Video

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua John Shibuda kuwa mgombea wa urais wa Tanzania na Hassan Kijogoo kuwa...

READ MORE

Harmo: Shoo ya Yanga Sishindani na Mtu, Mtashangaa – Video

  MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka kuwa shoo yake atakayoifanya  Uwanja wa Mkapa kwenye kilele cha Sherehe...

READ MORE

Fraga: Huyu Bwalya Anajua Aisee

MKATA umeme wa Simba raia wa Brazil, Gerson Fraga Vieira amesema kuwa usajili wa kiungo mpya, Larry Bwalya kutokea Klabu...

READ MORE

Wagombea Urais NRA Warejesha Fomu NEC, Wateuliwa – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tikeki ya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Janken Kasambala Malik...

READ MORE