×

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Agosti 9, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 5, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Balaa la Country Boy, Moni Centrozone Kwenye Jukwaa Moja – Video

Country Boy na Moni Centrozone wameonyesha balaa la hatari kwenye shoo waliyofanya pamoja usiku wa kuamkia tarehe 9 ambapo ulikuwa...

READ MORE

Timu Samatta Yachapwa Mabao 3-1 Na Timu Kiba, Morrison Akosa Penalti

TIMUKiba leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 mbele ya TimuSamatta kwenye mchezo wa hisani wa SamaKiba Foundation uliochezwa Uwanja...

READ MORE

Utata! Anayedaiwa Kufa Afufuka

MATUKIO ya watu sehemu mbalimbali nchini kudaiwa kufa na baadaye kupatikana wakiwa hai ‘kufufuka’, yanazidi kuzua utata miongoni mwa jamii,...

READ MORE

Presha Inapanda Wagombea Ubunge CCM

WAKATI vikao vya mchujo vikiendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kupata jina moja la mgombea atakayepeperusha...

READ MORE

Vifaa Sita Simba Yvafunga Usajili, Yumo Mzambia

SIMBA haitaki masihara rasmi sasa itasajili wachezaji sita pekee katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu...

READ MORE

Baada ya Kusaini Simba, Sakata la Morrison Laanza Upya, Yanga Yatoa Tamko

Baada timu ya Simba kutoa picha zikimwonyesha, Benard Morrison kumsajili, Uongozi wa Yanga umesema mchezaji huo ni mali yao na...

READ MORE

421 Wawania Ubunge Viti Maalum 10 UVCCM

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), leo Jumamosi tarehe 8 Agosti 2020, linapiga kura za...

READ MORE

Lissu Achukua Fomu NEC Kuwania Urais

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,  amekabidhiwa fomu za kuwania urais katika uchaguzi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Rasmi: Morrison Ajiunga Na Simba Akitokea Yanga Sc

Klabu ya Simba SC leo Agosti 8, 2020 imethibitisha kumsajili Mchezaji Bernard Morrison kutokea Yanga, ila haijaweka wazi gharama ya...

READ MORE

Hatma ya Ndayiragije leo Yanga SC

HATMA ya kocha mkuu mpya wa Yanga katika msimu ujao inatarajiwa kujulikana leo mara baada ya mabosi wa timu hiyo...

READ MORE

Kisa Yanga SC, Mrundi Agoma Kubaki Namungo

NAELEZWA kuwa mshambuliaji wa Namungo FC, raia wa Burundi, Bigirimana Blaise, amekataa kuongeza mkataba wa kukipiga ndani ya klabu hiyo...

READ MORE

🔴#LIVE: Waziri Mkuu Kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Nanenane

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu katika Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe na...

READ MORE

Vifaa Wiwili Kumrithi Juma Abdul Yanga SC

BAADA kushindwa kufikia muafaka mzuri na beki wao wa pembeni Juma Abdul, uongozi upo katika hatua za mwisho za kukamilisha...

READ MORE

Kiba Afanya Balaa, Afunga Mtaa wa Harmonize! – Video

SUPER Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ambaye pia ni CEO wa Kings Music Records, usiku wa kuamkia leo amefanya bonge...

READ MORE

Mavoko Afunguka Kusainiwa na Harmonize – Video

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko, ameweka bayana kuhusu stori zilizosambaa kwamba anataka  kusainiwa na msanii mwenzake aliyekuwa...

READ MORE

Meli Iliyobeba Ammonium Nitrate Ilifikaje Beirut?

SERIKALI ya Lebanon imesema kuwa mlipuko mkubwa ulioharibu  maeneo kadhaa ya mji wa Beirut umesababishwa na tani 2,750 za kemikali...

READ MORE

Cameroon ‘World Cup’ ya 1990 Kupewa Nyumba Mwaka Huu!

KIKOSI maarufu cha timu ya taifa ya Cameroon ambacho kilifika hatua ya robo -fainali kwenye michuano ya kombe la dunia...

READ MORE