×

Kocha Mkuu wa Simba Atua Nchini Leo

Sven Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba ndani ya ardhi ya Bongo Agosti 16 kuendelea kukinoa kikosi hicho. Kocha huyo raia...

READ MORE

Faiza Aibu Zangu Zimenifikisha Mbali

MREMBO ambaye alijiingiza pia kwenye uigizaji; Faiza Ally, amefunguka kuwa kila kitu alichopitia maishani pamoja na aibu zote alizokumbana nazo...

READ MORE

Mume Amkata na Shoka Mkewe kwa Tuhuma za Kutoa Mimba

POLISI mkoani Rukwa wanamtafuta kijana mkazi wa mtaa wa Kanisa Katoliki Manispaa ya Sumbawanga, Joseph Kalolo ‘Mwamba’ (35) kwa tuhuma...

READ MORE

Mfanyabiashara Taalib Mbowe Mikononi Mwa Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia kwa mahojiano Mfanyabiashara ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya White Star...

READ MORE

Aliyetoka kwa Msamaha wa Rais, Anaswa Wizi wa Ng’ombe

JESHI la polisi wilaya ya Igunga mkoani Tabora kwa kushirikiana na wananchi, wamemkamata Hamisi Juma (29) anayedaiwa kuwa mwizi sugu...

READ MORE

Ibrahim Ame Atambulishwa Simba, Asaini Miaka Miwili

IBRAHIM Ame beki aliyekuwa akikipiga Coastal Union leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Klabu ya Simba. Ame amesaini dili la...

READ MORE

Katibu Mkuu TFF Atambulisha Jezi Mpya za Azam FC

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao leo Agosti 16, 2020 ametambulisha jezi rasmi za Azam FC...

READ MORE

Binti wa Rais Putin wa Urusi Amepewa Chanjo ya Corona

Urusi imeanza uzalishaji wa chanjo mpya ya ugonjwa COVID-19, taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirika la habari la Interfax,...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yapongezwa kwa uwekezaji mkubwa walioufanya nchini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo alipoitembelea kampuni...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mavoko Aibuka na Mapya ya Lulu Diva!

Dar: Msanii wa Bongo Fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amesema siyo kweli kwamba ana uhusiano wa kimapenzi la mwenzake, Lulu...

READ MORE

Nusu Fainali Europa Moto Utawaka; Sevilla vs Man United leo

Vita ya Nusu Fainali ya Ligi ya Europa Kupamba Moto: Nani Ataingia Fainali – Ni Sevilla au Manchester United? Upande wa pili ni Inter Millan au Shaktar...

READ MORE

CRDB Marathon: Mama Samia Akabidhi Mil 200 JKCI Muhimbili

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, leo Agosti 16, 2020, amekuwa mgeni rasmi kwenye riadha ya CRDB MARATHON ambapo shindano...

READ MORE

Mzee Chilo Aomba Vifaa vya JWTZ!

Dar: Mkongwe wa filamu za Kibongo, Ahmed Ulotu ‘Mzee Chilo’ ameiomba Serikali kuwapatia wasanii majengo na vifaa vya Serikali ikiwemo...

READ MORE

Mgombea Asiyekuwa na ‘Jinsia Yoyote’ Afunguka Mazito – Video

Dar: Baby John (26) mkazi wa Kivule-Msongola wilayani Ilala jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni aligombea uteuzi wa nafasi...

READ MORE

Video: Adam Mchomvu Amlima Mtama Mbasha “Ananiita Bangi?”

MTANGAZAJI wa Clouds Media, Adam Mchomvu ‘Baba Jonii’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akimshusha stejini kwa bonge la mtama, mwimbaji wa...

READ MORE

Video: Rais JPM Ashiriki Ibada ya Misa Kanisa Katoliki Parokia ya Chamwino

 Rais Dkt.John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya MisaTakatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa Katoliki...

READ MORE

Lyon Yaifanya Kitu Mbaya Man City – Video

Moussa Dembele aliingia uwanjani akitokea kwenye benchi la wachezaji wa akiba na kufunga mabao mawili ya dakika za mwisho wakati...

READ MORE

Video: Balaa la Rayvanny, Avamia Steji na Gari la Jeshi

MSANII KUTOKA LEBO YA WCB, Rayvanny ameshuka stejini na gari la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Tamasha la Chama...

READ MORE

Romy Jones Afunguka Msemo wa ‘Awoote’

Dar: DJ rasmi wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Romy Jones amefunguka, hawezi kuzuia watu kutumia msemo wake wa...

READ MORE