×

Waliorusha Mawe Kwenye Mkutano wa Lissu Wakamatwa

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kupitia kwa kamanda wa Polisi Emmanuel Lukula limesema wanawashikilia watu 12 mpka Sasa kufuatia msafara...

READ MORE

JPM Azindua Kanisa Dodoma, Achangisha Pesa za Kujenga Msikiti -( Picha +Video)

Rais Magufuli leo Agosti amehudhuria Misa Takatifu na uzinduzi wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Ikulu Chamwino Mkoani...

READ MORE

Video: Maneno ya Tarimba Kanisani Kwa Gwajima

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni, kupitia Chama cha Mapinduzi, Abbas Tarimba amesema kuwa yeye na Askofu Gwajima, wamejipambanua kwamba...

READ MORE

Azam FC Festival Moto Utawaka Leo Chamazi

UONGOZI wa Klabu ya Azam, umesema leo kwenye kilele cha Azam Festival, mbali na kuwatambulisha wachezaji wapya, pia kutakuwa na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Live: Askofu Gwajima Akihubiri Kanisani Kwake Ubungo

 Askofu Josephat Gwajima, leo Agosti 23, 2020 ameongoza ibada kanisani kwake  Kanisa la Ufufuo Ubungo jijini Dar es Salaam.

READ MORE

Diamond Apiga Shoo Simba Day, Uwanja Wasimama (Picha+Video)

SIMBA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’  Agosti 22, 2020 ametua na Helkopta na kushusha burudani ya kiwango cha...

READ MORE

Diamond Alivyotua na Chopa Uwanja Mkapa (Picha +Video)

STAA wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Daimond Platnumz’  Agosti 23, 22020 ameuteka Uwanja wa Mkapa, takribani dakika tano,...

READ MORE

TIC Yafanikisha Mpango wa Kampuni Kutoka Misri Kuwekeza Kiwanda Kikubwa cha Vifaa vya Umeme Nchini

Mwakilishi wa Kampuni ya kuzalisha vifaa vya umeme ya Elsewedy Electric ambaye ni Mkurugenzi Mkaazi wa Afrika Mashariki wa Kampuni...

READ MORE

Sevilla Yaichomolea Yanga SC

YANGA ipo katika taratibu za mwisho kukamilisha mipango ya kuileta moja ya klabu kubwa kutoka nchini Burundi kwa ajili ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo 23, Agosti 22, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 23, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Simba Yaipiga Vital’0 Ya Burundi 6-0, Simba Day, Morrison Atupia

KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Agosti 22, imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya...

READ MORE

Alikiba, Msaga Sumu Ndani ya Azam

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam...

READ MORE

Baada ya Kunyweshwa Sumu, Kiongozi wa Upinzani Urusi Awasili Ujerumani Kutibiwa

MSEMAJI wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny amesema leo kuwa mwanasiasa huyo ameondolewa kutoka hospitali aliyokuwa anatibiwa katika...

READ MORE

Mgonjwa Amuua Mgonjwa Mwenzake, Ajeruhi Wauguzi

MWANAMME mmoja aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Nanyuki nchini Kenya amedaiwa kugeuka mbogo na kumuua mgonjwa mwenzake,...

READ MORE

Morrison Atoa Kauli: Simba Chuo Cha Mpira Tanzania

MCHEZAJI mpya wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison amepigiwa shangwe kama lote na mashabiki wa Simba mara baada ya...

READ MORE

Meja Kunta Awateka Mashabiki Uwanja wa Mkapa – Picha

MSANII Meja Kunta amefanya shoo ya aina yake leo Agosti 22, 2020 Uwanja wa Mkapa Kilele cha Simba Day ambapo...

READ MORE

Mashabiki Wafurika Simba Day Uwanja wa Mkapa – ( Picha + Video)

Kutoka Uwanja wa Mkapa Kilele cha Simba Day leo Agosti 22, 2020 mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona timu yao dhidi...

READ MORE

Mr. Championi Agawa Tiketi Simba Day Kwa Wasomaji Wake

  Mapema leo Mr. Championi amewakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za  Kilele cha Simba Day leo Agosti 22,...

READ MORE

Shigongo Achukua Fomu ya Ubunge Buchosa – Video

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric James Shigongo amechukua fomu ya kugombea...

READ MORE