×

Yanga Wamzimia Simu Beki Mnyarwanda

HALI imeenda ndivyo sivyo katika usajili wa Eric Rutanga baada ya beki huyo kusema kuwa mabosi wa Yanga wamemchunia tangu...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu: Dkt. Bashiru Azindua Kituo cha Mawasiliano CCM

  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally Kakurwa leo Agosti 17, 2020 amezindua kituo cha mawasiliano kuhusu...

READ MORE

Sakata la Morrison, TFF Yamlima Msolla

TFF imesema imepokea kwa masikitiko madai ya Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla aliyedai kupitia Vyombo vya Habari kuwa...

READ MORE

Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21

Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2020/21. Ligi hiyo inahusisha timu 18 zitakazocheza michezo 34 kila moja....

READ MORE

Samia Aikabidhi Global Publishers Tuzo ya CRDB

MAKAMU wa Rais,  Samia Suluhu,  ameikabidhi Kampuni ya Global Publishers Tuzo kutoka Benki ya CRDB jana Agosti 16, 2020, ikiwa...

READ MORE

Muungano wa Tigo na Zantel Utakavyoimarisha Huduma za Mawasiliano Ya Simu

Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa...

READ MORE

Azam FC Wazindua Azam Festival, Watambulisha Uzi Mpya

KLABU ya Azam FC jana Jumapili, ilizindua tamasha lake la Azam Festival katika shughuli iliyofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex...

READ MORE

Mweka Hazina wa Harusi Atokomea na Michango

  AMA Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa, wageni waalikwa zaidi ya 150 katika sherehe ya...

READ MORE

Moro: Lori Laangukia Coaster, Watu Kadhaa Wahofiwa Kufa

WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kubanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi dogo la abiria (coaster) katika...

READ MORE

Rais Magufuli Akabidhi Uenyekiti wa SADC Msumbiji – Video

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. John Pombe Magufuli, leo Jumatatu, Agosti...

READ MORE

Naibu Waziri Waitara Azindua Maadhimisho Ya Juma la Elimu

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara ameupongeza Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) kwa jitihada inazozifanya pamoja...

READ MORE

Safari ya Kwanza ya MV New Victoria, Acha Kabisa!

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jeneral Marco Gaguti, ameongoza wakazi wa manispaa ya Bukoba na viunga vyake katika mapokezi...

READ MORE

Simbachawene Aagiza Polisi Kuwadhibiti Wanasiasa Watakaoleta Vurugu Uchaguzi

   WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amevionya vyama vya siasa nchini ambavyo vina wagombea katika ngazi...

READ MORE

Hatimaye Messi Aomba Kuondoka Barcelona

Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Lionel Messi, ameiambia klabu hiyo kuwa anataka kuondoka kutafuta maisha mengine, huku...

READ MORE

Takukuru Yamnasa Mfanyabiashara Tuhuma za Kukwepa Kodi Bil 6.3

TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya White Star Investment Taalib Karim Mbowe, inayofanya biashara ya usafirishaji ndani...

READ MORE

Man United Yachezea Kichapo cha Sevilla

KLABU ya Manchester United ilijikuta ikitupwa nje ya michuano ya Europa baada ya kipigo cha bao 2-1 walichokipata kutoka kwa...

READ MORE

Kenyatta Ataka Mawaziri Kuchukua Likizo ya Lazima

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko ya lazima huku...

READ MORE

Majina ya Wagombea Ubunge Kupitia ACT – Wazalendo

KAMATI  Kuu ya Chama cha ACT- Wazalendo imewateua Mbarara Maharagande kuwa mgombea wa Ubunge Jimbo la Segerea, Zitto Kabwe Jimbo...

READ MORE