×

Top Five: Wasanii wa Kike Wenye Voko Kali Bongo

Muziki mzuri siku zote hutengenezwa na vitu vizuri ndani yake kwa kuzingatia umakini, mfano melodi nzuri, mashairi na kikubwa zaidi...

READ MORE

Simba SC Yapindua Meza ya Yanga Kwa Makambo

KLABU ya Simba, imedhamiria kuboresha zaidi kikosi chake hasa katika safu ya ushambuliaji, ambapo tayari imeingia kwenye mazungumzo ya kina...

READ MORE

India Yanunua Ndege 5 za Kivita Ikiihofia China

JESHI la India limepokea ndege tano za kivita aina ya Rafale huku kukiwa na wasiwasi mkubwa kati yake na China....

READ MORE

Daktari Mweusi Mwenye Dawa ya Corona Inayomkuna Trump

STELLA IMMANUEL ni daktari ambaye amekuwa chanzo cha mkanganyiko kuhusu madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu dawa ya malaria kuwa na uwezo...

READ MORE

Gigy: Zuchu ni Kiboko Yao

Msanii kunako anga la muziki wa Bingo Fleva Gift Stanford wengi wanamjua kwa jina la ’Gigy Money’ amesema kuwa Zuchu...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Julai 30, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 28, 2020 Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

Nuh Mziwanda: Sina Mpango wa Kumlipua Shilole

Nipeleke kwa muganga na mimi nataka wanga… Mana mapenzi yamenikoroga kinoma ……. Kanichanja chale mwili mzima….. Mi simkumbuki hata jina...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Yanga SC: Usajili Wetu Umekamilika

KAMPUNI ya GSM kwa kushirikiana na Kamati ya Usajili ya Yanga tayari imekamilisha usajili wake kwa asilimia tisini katika kuelekea...

READ MORE

Pluijm Aibuka, Afungukia Kurejea Yanga

KOCHA wa zamani wa Yanga Mholanzi, Hans Pluijm ameibuka na kufungukia hatma yake ya kurejea kukinoa kikosi baada ya tetesi...

READ MORE

Simanzi Kubwa! Safari ya Mwisho ya Mkapa, Lupaso – (Picha + Video)

BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, amehitimisha safari yake ya siku 29,845 hapa duniani. Safari...

READ MORE

Yanga SC Yambakisha Fraga Simba

BENCHI la Ufundi na Bodi ya Wakurugenzi wa Simba kwa pamoja wamekubaliana kumbakisha kiungo wake mkabaji raia wa Brazil, Gerson...

READ MORE

Tshishimbi Abakiza saa 48 tu Yanga SC

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nahodha wao Papy Tshishimbi mkataba wake unafika ukingoni mwezi Agosti ambapo kwa sasa zimebaki siku...

READ MORE

Mwinyi: Mungu Msamehe Mkapa, Nilibeba Viatu Begani – Video

RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, amemwomba Mwenyezi Mungu kumsamehe Hayati Benjamin William Mkapa...

READ MORE

Mwijaku Kortini kwa Tuhuma za Kusambaza Picha za Utupu

MTANGAZAJI na msanii, Mwemba Burton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, leo...

READ MORE

Wakurugenzi Apple, Facebook, Amazon na Google Kuhojiwa

Mark Zuckerberg (Facebook), Jeff Bezos (Amazon), Tim Cook (Apple) na Sundar Pichai (Google) watahojiwa na Bunge kuhusu wanavyokabiliana na taarifa...

READ MORE

JPM: Mkapa Alikataa Kuzikwa Dodoma – Video

RAIS John Magufuli amesema rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin  Mkapa alipenda nyumbani kwao Masasi ndiyo maana alikataa kuzikwa...

READ MORE

Kikwete: Viwanda, Uchumi wa Kati Dira ya Mkapa – Video

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema sera ya kukuza uchumi na kujenga viwanda ilikuwa ni dira  aliyoitengeneza...

READ MORE