×

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 1, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 1, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mama Afungukia Wema Kuzimia

MAMA mzazi wa msanii wa filamu nchini Wema Sepetu, Miriam Sepetu amefungukia ishu ya mwanaye kudaiwa kuanguka na kuzimia. Mwishoni...

READ MORE

Dogo Janja: Amwagia Sifa ‘Baby’ Wke

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Abdulazizi Chande almaarufu “Dogo Janja” amefunguka kuwa mchumba wake yupo tofauti na wanawake wengine...

READ MORE

Rutanga: Nimesaini Yanga, Kutua Nchini

NI rasmi sasa beki wa kushoto wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea Rayon Sports, Eric Rutanga ni mali ya Yanga baada...

READ MORE

Yanga Yatua Gor Mahia Kumalizana na Straika Kiboko

HESABU za mabosi wa Yanga kwa sasa ni kuhakikisha wanamalizana na straika, Dickson Ambundo ambaye alikuwa anaichezea Gor Mahia ya...

READ MORE

Tuzo za Mo Dewji Simba Zayeyuka

UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa safari hii hawatarajii kuwa na Tuzo za Mo kama walivyofanya misimu miwili iliyopita...

READ MORE

Dkt. Shein Aaga Rasmi Zanzibar

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, ametumia Baraza la Eid, lililofanyika Bumbwini,...

READ MORE

Morrison Alia Asema Kukamatwa na Polisi ni Njama

NYOTA raia wa Ghana, Bernard Morrison ameingia katika sekeseke jingine baada ya kukamatwa na kushikiliwa kwa muda na Polisi wa...

READ MORE

Lindi: Kikwete Aongoza Swala ya Eid El-Adha

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid...

READ MORE

Denti Kidato Cha Tano Aandaa Maonesho Ya Picha

Rania Nasser ambaye ni Mwanafunzi wa Kidato cha Tano ameandaa maonyesho ya picha yanayojulikana kama ‘Watu wa Tanzania’ ambayo yatafanyika...

READ MORE

Mwanamke Kortini Kunyanyasa Kingono Watoto wa Jirani

MWANAMKE  mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akituhumiwa...

READ MORE

ONA MABADILIKO YA SHERIA: Kanuni za Maudhui Mtandaoni 2020

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe amefanya mabadiliko ya sheria ya Kanuni za Maudhui...

READ MORE

Majaliwa: Semeni Mtakayofanya, Si Kubeza ya Wengine – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza...

READ MORE

Askari Walevi Waua Watu 12 Congo

ASKARI waliokuwa wamelewa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemimina risasi na kuua watu 12 na kuwajeruhi wengine kadhaa.  ...

READ MORE

DC wa Arusha Afunga Ndoa na Miss Dodoma

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Labani Kihongosi, jana amefunga ndoa mkoani Iringa na mchumba wake  Adilla Chigomelo aliyewahi kuwa...

READ MORE

Marekani: Trump Asema Uchaguzi wa Urais Uahirishwe

DONALD TRUMP  ametoa wito kuwa uchaguzi wa rais utakaofanyika Novemba mwaka huu uahirishwe akidai kuongezeka kwa upigaji kura kwa njia...

READ MORE

Majaliwa Azungumza Katika Swala na Baraza la Eid Dar -Video

Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko...

READ MORE

Kenya Yaruhusu Ndege Nchi 11, Tanzania Haimo

IKIWA siku kadhaa kabla ya kuanza kwa safari za ndege kimataifa, serikali ya Kenya imetangaza mwongozo mpya kuhusu hatua hiyo....

READ MORE

Esma Afanyiwa Maulid Madale, Dar – Video

DADA wa mwanamuziki Diamond Platnumz, aitwae Esma Platnumz,   usiku wa kuamkia leo Julai 31, 2020 amefanya sherehe ya Maulid huko...

READ MORE