×

Maisha Mapya ya Kiba, Mondi!

  DAR: Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wawili ndani ya Bongo Fleva; Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Siri Mastaa Kujitosa Ubunge Yafichuka!

DAR: Wakati mbio za Uchaguzi Mkuu mwaka huu zikizidi kushika kasi, nafasi ya ubunge imetia fora kwa kuvutia mastaa wengi...

READ MORE

Wasanuii wa Kike Wenye Pesa Ndefu Bongo

  KWA wasanii wa kiume, Nasibu Abdul ‘Dimaond Platnumz’ ndiye anayetajwa kuongoza kwa kuwa na mkwanja mrefu zaidi lakini hata...

READ MORE

Kisa Kukosa Ubingwa, Messi Awa Mbogo

DAKIKA chache mara baada ya Barcelona kupoteza mchezo juzi, nahodha wa timu hiyo, Lionel Messi hakuamua kujivunga wala kung’ata maneno,...

READ MORE

Aboubakar Juma Ajitosa Urais Kupitia NCCR-Mageuzi

ABOUBAKAR JUMA ABOUBAKAR leo Julai 18, 2020, ametia nia kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha...

READ MORE

Trump Agoma Kuwalazimisha Wamarekani Kuvaa Barakoa

LICHA  ya ongezeko la visa vya ugonjwa wa COVID-19 nchini Marekani, Rais Donald Trump amesema hakubaliani na kuwekwa amri ya...

READ MORE

Majaliwa: Vijana, Kinamama Nendeni Mkalime

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani...

READ MORE

Buti la Jeje Linavyotrendi Mjini!

KARIBU mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya FASHENI. Wiki hii ninakuletea fasheni ya viatu vikubwa ambavyo vinaweza kuwa ni...

READ MORE

Mbelgiji: Itakuwa Aibu Yanga Kuikosa Nafasi ya Pili VPL

WAKATI leo Jumamosi ikiivaa Mwadui pale Uwanja wa Taifa, Dar, Kocha wa Yanga, raia wa Ubelgiji, Luc Eymael amefunguka kuwa...

READ MORE

Wabunge, Madiwani Wahamiaji; Wana Kazi Kubwa Kupenya!

WABUNGE na madiwani wa vyama vya upinzani waliohamia CCM na wale waliohamia vyama vingine, wana mtihani mkubwa wakati huu tunapoelekea...

READ MORE

Flaviana Afichua Sababu za Kuja na Taulo za Kike

MISS Universe Tanzania 2007 ambaye kwa sasa ni mwanamitindo, mwanaharakati na mfanyabiashara maarufu, Flaviana Matata amesema alianzisha Lavy Sanitary Pads...

READ MORE

Kubenea Aondoka Chadema, Ajiunga ACT-Wazalendo

MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga...

READ MORE

Zuchu Bado Siamini Kama Nipo Wasafi

“KUKUHINI kusokwisha umeangukia pemani…Roho yanidadarika kanshatoka shetwani..Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi…Moyo umekunja ndita nakumis jamani..Ngumu safari ilifanya njiani ushukiee… Ukakosa...

READ MORE

Rais Magufuli Atengua Uteuzi Katibu Mkuu Mambo ya Nje

Rais Magufuli leo Julai 18, 2020 amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje...

READ MORE

CCM Itaweza Kuruka Moto wa Vihunzi Hivi Kusini?

WAKATI moshi wa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, ukizidi kufuka, yamkini mikoa ya Lindi na Mtwara sasa itakoleza moto wa uchaguzi...

READ MORE

Watia Nia 55 CCM Chato Kumvaa Kalemani

KATIKA hali iliyowashangaza wengi, watia nia wapatao 55 wamejitokeza kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili wapitishwe kugombea ubunge...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi; Resonance Global Tanzania – Private Sector Network Consultant

Vacancy title: Private Sector Network Consultant (Generalist) Jobs at: Resonance Deadline of this Job: 31st July, 2020 Duty Station: Within...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Ahirisha Sherehe Za Mashujaa 2020

Rais John Magufuli ameahirisha sherehe za mashujaa zilizokuwa ziganyike Julai 25 mwaka huu jijini Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE