×

Vodacom Yatambua Vipaji Vya Golf Kupitia Corporate Masters

Mkuu wa Idara ya Masoko na Ushirikiano kutoka Vodacom Tanzania Joseph Sayi  wa pili kushoto akimkabidhi tuzo moja ya washindi...

READ MORE

Mahakama Yatoa Ulinzi Maalum kwa Mashahidi Kesi ya Lissu

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Serikali la kuwalinda mashahidi wake ambao ni raia wa kawaida...

READ MORE

Chongolo Aendelea Kutakata – Aongoza Kata 10 Kati ya 12!

Mpaka sasa, Daniel Chongolo anaonekana kuongoza kwa kishindo kikubwa katika kata 10 kati ya 12 zilizohesabiwa, akimpita mbali Deo Sanga...

READ MORE

Naibu Waziri Apata Msukosuko, Gari Yake Yachomwa

Hali ya kisiasa si shwari Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya kutokea vurugu na mashambulizi kabla ya kufanyika kuwa...

READ MORE

Christmas Hii Yaja na Ushindi Meridianbet

Mwezi wa 12 wa mwaka huu unakuja kijanja kwani Meridianbet inatarajia kukupatia mkwanja wa maana endapo utaweza usuka jamvi lako...

READ MORE

Mpenzi Wa Zamani Wa Diddy Atoa Barua Ya Kumtetea Katika Kesi Yake Ya Jinai

Gina Huynh, aliyewahi kuwa mpenzi wa Diddy, sasa ametajwa kama Mhusika Namba 3 katika mashitaka ya shirikisho dhidi ya msanii...

READ MORE

Yanga Hawapoi, Kiungo Wa Kazi Mohamed Doumbia Ndani

YANGA SC mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2025/26 hawapoi kutokana na kasi yao kwenye utambulisho wa...

READ MORE

Rais Dkt.Samia Ateua Viongozi Mbalimbali, Avunja Bodi ya NSSF

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kumpangia kituo cha...

READ MORE

Burudani Mpya Ya Kasino Mtandaoni Yawasili Meridianbet Kupitia TVBET

Ulimwengu wa burudani unaendelea kubadilika kwa kasi kubwa, huku teknolojia ikiweka alama mpya kila uchwao. Moja ya maeneo yanayoshuhudia mageuzi...

READ MORE

Mambo 7 ya Kufanya Mpenzi Wako Asikuache

KILA binadamu anao udhaifu wake hasa pale anapogundua sehemu na mahali gani muhimu penye upungufu kwake na akataka kuziba pungufu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 4, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mkulima kutoka Manyara Azindua Mifumo ya Kisasa ya Kilimo Dodoma

Mkulima wa Mazao ya Bustani kutoka mkoani Manyara, Bw. Shaban Manota atakuwa Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi wa mifumo miwili bunifu...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ufunguzi Michuano Ya Chan 2024

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Agosti 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano...

READ MORE

Tanzania Yafungua CHAN Kwa Ushindi, Wakomba Mamilioni Ya Mama

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefungua pazia la CHAN 2024 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina...

READ MORE

Kailima Awataka Wanahabari Kuhakikisha Usawa kwa Vyama Wakati wa Kampeni

Waandishi wa habari nchini wametakiwa kutumia taaluma yao kuhamasisha na kuelimisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo tarehe 29...

READ MORE

TRA Yatoa Msamaha wa Kodi kwa Magari Yasiyokidhi Matakwa ya Forodha

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa msamaha wa kodi kwa wamiliki wa magari yasiyokidhi matakwa ya forodha kwa kipindi cha...

READ MORE

Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao kwa kumsajili kiungo mshambuliaji kutoka Timu ya Taifa ya...

READ MORE

Magereza Yakanusha Kumsukuma Lissu, Yatoa Maelezo Rasmi

Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha vikali madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu...

READ MORE

Leo Ni Leo! Mamilioni Yako Yapo Hapa – Bashiri na Meridianbet

Ikiwa ni Jumamosi ya mwezi wa Agosti huku ligi mbalimbali Duniani zikiwa karibu kuanza, Meridianbet inakupa fursa ya kujipigia pesa...

READ MORE

CAF Yamfuta Kazi Mkurugenzi Mkuu Wa Waamuzi Kufuatia Sakata La Fainali Ya Wafcon Ya Wanawake

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Waamuzi, Désiré Noumandiez Doué, kwa makosa yaliyofanywa katika...

READ MORE