×

Video: Serikali Yaridhia Mashabiki Kwenda Uwanjani

Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Hassan Abbas, leo Mei...

READ MORE

Soma Mwongozo wa Serikali Katika Michezo Huu Hapa

Kufuatia kuwepo kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona nchini ambao uliripotiwa kwa mara ya kwanza mwezi Machi,...

READ MORE

Marekani Yatakiwa Kutafakari Upya Uamuzi Wake Kuhusu WHO

Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kufuta uhusiano wa nchi yake na shirika la afya duniani WHO haikupokewa...

READ MORE

Video: Upendo Nkone, Ampongeza Rais Magufuli Kwa Mapambano Ya Corona

MWIMBAJI nguli wa nyimbo za injili hapa nchini, Upendo Nkone, leo Mei 31, 2020 ameshiriki katika kipindi cha Soulfood kinachorushwa...

READ MORE

Naibu Waziri Elimu  Avitaka Vyuo  Kuzingatia Maelekezo Ya Kujikinga Na Corona Bila Kuwatia Hofu Wanafunzi

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amevitaka Vyuo vya Elimu ya Juu na vya...

READ MORE

Kifo cha George Floyd: Maandamano Yatanda Marekani -Video

  Maandamano makubwa yanayofanyika kote nchini Marekani baada ya mmarekani mweusi George Floyd kufa mikononi mwa polisi katika jimbo la...

READ MORE

Wema Awashukuru Wanaomtakia Ndoa Njema

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu amemshukuru Mungu kwa kuona watu ambao ni mashabiki wake wakimtakia ndoa njema....

READ MORE

Video: Jionee Maajabu Ya Barabara Za Juu Ubungo “Tunampa ‘Big Up’ Magufuli”

 Mei 30, 2020, barabara za juu (Flyover) zinazojengwa katika makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma na Mandela (Ubungo...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Assistant Lecturers, Mbeya University

Mbeya University of Science and Technology invites applications from suitable and qualified Tanzanian Citizens to fill in the following vacant...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Mei 31, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 31 Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

VIDEO: Shigongo Afundisha Somo Muhimu Kuhusu Tabia

MHAMASISHAJI maarufu Afrika Mashariki na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shogongo, amefundisha somo muhimu la jinsi ya...

READ MORE

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Ikulu ya Chamwino – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Mei 30, 2020 ameweka jiwe la msingi la...

READ MORE

Lulu Diva Afunguka Kumwagiwa Maji ya Moto

Mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amesema anawashangaa watu wanaosema amemwagiwa maji ya moto, kisa mume...

READ MORE

Kikwete Ashukuru Zawadi ya Tausi Kwa Niaba ya Wenzake -Video

RAIS wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, leo Mei 30, 2020 ameelezea...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Jumamosi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mke Wa Askari Aliyemuua George Floyd Adai Talaka

Kellie Chauvin, mke wa Derek Chauvin askari anayeonekana kwenye video inayosambaa kwa kasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii, akiwa amemkandamiza...

READ MORE

Mondi Anunua Mtaa Mzima

Usiseme ‘hatuna pesa, sema sina pesa!’ Anachokifanya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ kwenye nyakati hizi...

READ MORE

Video: JPM Akabidhi Tausi Marais Wastaafu Dodoma

  RAIS John Magufuli leo Mei 30, 2020,  amewakabidhi ndege 25 aina ya tausi kila mmoja, marais wa awamu zilizopita...

READ MORE

Barakoa Ya Morrison Yamkuna Daktari Yanga

KITENDO cha nyota wa Klabu ya Yanga, Bernard Morrison kuvaa barakoa kwa muda wote aliokuwa kwenye mazoezi ya kikosi, kimemkuna...

READ MORE