×

Stamina Kumuomba Msamaha Mkewe?

MKALI wa Hip Hop Bongo, Bonventure Kabongo ‘Stamina’ amesema suala la kumuoma msamaha aliyekuwa mkewe ni jambo la siri na...

READ MORE

Maalim Seif Atoa Mapendekezo ya Uchaguzi wa Haki, Huru…

MWENYEKITI  wa chama cha  ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad,  leo Juni 10, 2020, ametoa mapendekezo kumi ya chama chake...

READ MORE

Wabunge 69 wa Mbowe Kuhojiwa TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Soka Linarejea Hispania na Meridianbet

BAADA ya miezi mitatu mirefu – Hatimaye soka linarejea Hispania! Kila mechi ambayo itachezwa kule Hispania wakati ligi ikiendelea itaacha...

READ MORE

JPM Apiga Simu Mbeya, Awarudishia Wananchi Ardhi – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD) mkoani Mbeya kuwalipa wananchi...

READ MORE

David Silinde Atangaza Kujiunga CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoani Songwe David Ernest Silinde ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbunge huyo pamoja...

READ MORE

Ubaguzi: Waandamanaji Wang’oa Sanamu la Mfalme

WAANDAMANAJI wanaopinga ubaguzi wa rangi wameliondoa sanamu la Mfalme Leopold II lililokuwa mjini Antwerp ambalo limekuwa likilalamikiwa na wanaharakati kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi n Risasi Jumatano kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Juni 10, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 10, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Wapenzi Wa Hadithi za Shigongo Sasa Kuzipata Kwenye Simu

KAMPUNI ya huduma ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Kampuni ya Global Publishers...

READ MORE

Mbowe Apokelewa Dar, Apelekwa Aga Khan – Video

Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe (Mb), amepokelewa muda mfupi...

READ MORE

Breaking: Rais Nkurunziza Afariki Dunia

ALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki Dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,...

READ MORE

Lijualikali: Mbowe Hajavamiwa, Alilewa Akaanguka – Video

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali amelieleza Bunge, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hakushambuliwa na watu wasiojulikana bali alidondoka...

READ MORE

Kesi ya Idris Yakwama Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent...

READ MORE

Majaliwa Amjulia Hali Mbowe Dodoma

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye...

READ MORE

Kiungo Rayon Awaaga Mashabiki, Kutua Yanga

15 HATIMAYE kiungo anayehusishwa kujiunga na Yanga, Fabrice Mugheni, amewaaga rasmi mashabiki wa timu yake ya Rayon Sports ya Rwanda...

READ MORE

Shilole: Sijatembea na DJ, Presenter, Aje Nitampa Mil 1.5

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed, Shilole amesema hajawahi ku-date na presenter wala DJ wa kituo chochote ili aweze kutusua...

READ MORE

Chadema Wamtaja Mch. Mashimo Shambulizi la Mbowe

  DAR ES SALAAM: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinahitaji uchunguzi wa uhuru katika tukio la kuvamiwa kwa...

READ MORE

Wawa: Tutawang’oa Azam, Tunaitaka Nusu FA

BEKI wa kazi wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, amebainisha kwamba licha ya ugumu ambao watakutana nao kwenye mechi dhidi...

READ MORE