×

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Ikulu ya Chamwino – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Mei 30, 2020 ameweka jiwe la msingi la...

READ MORE

Lulu Diva Afunguka Kumwagiwa Maji ya Moto

Mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amesema anawashangaa watu wanaosema amemwagiwa maji ya moto, kisa mume...

READ MORE

Kikwete Ashukuru Zawadi ya Tausi Kwa Niaba ya Wenzake -Video

RAIS wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, leo Mei 30, 2020 ameelezea...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Jumamosi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mke Wa Askari Aliyemuua George Floyd Adai Talaka

Kellie Chauvin, mke wa Derek Chauvin askari anayeonekana kwenye video inayosambaa kwa kasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii, akiwa amemkandamiza...

READ MORE

Mondi Anunua Mtaa Mzima

Usiseme ‘hatuna pesa, sema sina pesa!’ Anachokifanya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ kwenye nyakati hizi...

READ MORE

Video: JPM Akabidhi Tausi Marais Wastaafu Dodoma

  RAIS John Magufuli leo Mei 30, 2020,  amewakabidhi ndege 25 aina ya tausi kila mmoja, marais wa awamu zilizopita...

READ MORE

Barakoa Ya Morrison Yamkuna Daktari Yanga

KITENDO cha nyota wa Klabu ya Yanga, Bernard Morrison kuvaa barakoa kwa muda wote aliokuwa kwenye mazoezi ya kikosi, kimemkuna...

READ MORE

Kwa Michongo Hii, Yanga Inarudi Kibabe

AKIENDELEA kukisuka kikosi chake, Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa, bado mipango yake ipo vilevile ya kulichukua Kombe la FA...

READ MORE

Mawasiliano ya Kidijitali Yanavyosaidia Kutuleta Pamoja

Ugonjwa wa korona (COVID-19) umebadili maisha ya watu wengi kwa namna ambazo hatukutegemea. Moja ya badiliko kubwa ni lile la...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Mei 30, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 30 Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

 Tukio kubwa lililoshtua wengi ni sakata la Mchungaji mmoja mkoani Morogoro kumnyanyasa kingono muumini wake ambaye ni mwanafunzi hadi...

READ MORE

Trump: Wanaopinga Mauaji ya Mmarekani Mweusi ni ‘VIBAKA’

RAIS Donald Trump wa Marekani amewaita waandamanaji wanaopinga mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minneapolis kuwa ni...

READ MORE

Rais JPM Aungana na Wajeda Kuchanganya Zege Ikulu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa, Mei 29, 2020, amekagua maendeleo ya ujenzi...

READ MORE

Utamu Usioisha Hamu -2

Monica alishaingiwa na tamaa, alichokifanya ni kuingia bafuni kuoga. Alimuogesha mwenye jina kwa makini sana, huyu akimwambia “Uwe mwaminifu katika...

READ MORE

Kocha wa Simba Afunguka Adhabu ya Ibrahimu Ajibu -Video

KOCHA wa Simba SC, Sven Vandenbroeck ameeleza kuwa adhabu ya nyota wake Ibrahimu Ajibu itamalizika Jumatatu ijayo hivyo ataweza kujumuika...

READ MORE

Harmo Afunguka Kutoa Ahadi Hewa Hospitali

KONDE Boy, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amefungukia madai ya kutoa ahadi hewa ya kusaidia hospitali mbalimbali na shule kisha...

READ MORE

Mke wa Rais Nkurunzinza Akutwa na Corona

Denise Nkurunziza, Mke wa Rais wa Burundi, amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan nchini #Kenya alipopelekwa baada ya kubainika kuwa...

READ MORE

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi Mwanaye

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame,  amethibitisha  uteuzi wa mwanaye,  Ivan Kagame (kushoto),  kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Rwanda...

READ MORE

Trump Asaini Sheria Kubana Twitter, Facebook na Youtube

RAIS Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo...

READ MORE