×

Bingwa wa Ballon D’OR na Meridianbet Huyu Hapa

Wakali wa ubashiri  Meridianbet tayari wameshakuwekea washindi wako. Ingia kwenye akaunti yako na uchague mshindi wako sasa. Je yupi kuondoka...

READ MORE

Mbeto: Wanaongoja kusikia CCM imepasuka watasubiri kwa miaka mingi

Na Mwandishi Wetu , Dodoma Chama Cha Mapinduzi kimesema makundi ya Waganga njaa , Wanafiki na mamluki wanaosubiri kusikia CCM...

READ MORE

13 Wafariki Dunia katika Ajali ya Boti Kaskazini mwa Nigeria

Niger State, Nigeria – Takriban watu 13 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria na mizigo kuzama Jumapili...

READ MORE

ACT Wapokea Nakala Tepe Daftari La Wapiga Kura

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu akipokea nakala tepe ya daftari la kudumu la wapigakura kutoka kwa Mwenyekiti...

READ MORE

“Yanga Yamnasa Nahodha wa Simba?” – Ali Kamwe Afunguka Suala la Zimbwe Jr

WAKATI Yanga SC wakitajwa kukamilisha kwa asilimia 100 dili la Mohamed Hussen Zimbwe Jr aliyekuwa beki wa Simba SC na...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Na World Vision Tanzania Wakabidhi Mradi Wa Maji Safi Kwa Kijiji Cha Kwedizinga

Benki ya Absa Tanzania kwa kushirikiana na World Vision Tanzania leo wamekabidhi rasmi mradi wa kisima chenye pampu ya umeme...

READ MORE

Wanachama 11 Chadema Wakamatwa Na Polisi, Kamanda Afunguka – Video

Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za kufanya...

READ MORE

Yanga Yamwongezea Mkataba Maxi Nzengeli Mpaka 2027

Klabu ya Yanga Sc imetangaza kumsainisha kiungo mshambuliaji, Maxi Mpira Nzengeli nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

Dodoma, Julai 28, 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Rosemary Range Ametikisa Jukwaa la Tuzo za EAEA kwa Mbwembwe na Umahiri

Mwanadada machachari kutoka Tanzania, Rosemary Range amejinyakulia tuzo ya “Mshawishi wa Mitandao Anayeinuka Kwa Kasi Zaidi”  katika hafla ya EAEA...

READ MORE

Mashujaa Wa GGM Kili Challenge 2025 Wapongezwa Kwa Mchango Wao Katika Mapambano Dhidi Ya VVU

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu, ameisifu na kuipongeza kampeni ya Kili Challenge, ambayo ni ubia kati ya Geita...

READ MORE

Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Dkt. Samia  Katika Mkutano Wa Actif 2025 Nchini  Grenada

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 27, 2025 amewasili mjini St. George’s, nchini Grenada ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

AS FAR Rabat Yaagana Rasmi na Henock Inonga Baka

Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya...

READ MORE

Kikao cha Kamati ya Maadili ya CCM Chafanyika Dodoma Usiku Kuchuja Majina ya Wagombea

Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa...

READ MORE

Nafasi za Kazi: Maafisa Mikopo 10 Wahitajika Haraka Wezesha Mzawa

Wezesha Mzawa Microfinance inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye hamasa na sifa stahiki kujiunga kama Maafisa Mikopo (Nafasi 10). Sifa...

READ MORE

Ajali Mbeya: Magari 5 Yapata Ajali, Mmoja Afariki Dunia, Mashuhuda Wasimulia – Video

Wakati taifa bado linaomboleza vifo vya wanafunzi sita waliopoteza maisha kwenye ajali ya hivi karibuni huko Chunya, mkoa wa Mbeya...

READ MORE

Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!

  MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo...

READ MORE

Aliyeua Wanafunzi Wanne Afungwa Kifungo cha Maisha

Bryan Kohberger, mwanafunzi wa shahada ya uzamifu katika sheria ya uhalifu, amehukumiwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa msamaha wa...

READ MORE

Jonathan Sowah Ajiunga Rasmi na Simba Kutoka Singida Black Stars

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kuondoka kwa mshambuliaji wao nyota, Jonathan Sowah, raia wa Ghana, ambaye amejiunga na...

READ MORE

NMB Yamwaga Mamilioni Maonyesho ya Kitaifa NaneNane

  BENKI ya NMB imekabidhi Sh milioni 100 kwa Wizara ya Kilimo ili kusaidia kwenye maandalizi ya maonyesho wakulima, wafugaji...

READ MORE