×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mchezaji wa Man City Gvardiol Aingia Kambini na Maafisa wa Vikosi Maalum

Wakati wachezaji wengi duniani wakirudi kwa mazoezi mepesi ya uwanjani, beki wa Manchester City, Joško Gvardiol, ameanza msimu mpya kwa...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Tawi Jipya la NBC Ubungo Akizindua Rasmi Kituo Cha Biashara Kimataifa

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC...

READ MORE

Davinci na Mocktail Syrups, Zasaini Mkataba na Frabby wa Kusambaza Bidhaa Uokaji keki

Dar es Salaam 31 Julai 2025: Kampuni ya Davinci, inayojihusisha na uzalishaji wa vinywaji vya Cocktail na Mocktail Syrups, imesaini...

READ MORE

Arsenal Yachapwa na Tottenham Katika Mchezo wa Kirafiki Jijini Hong Kong

Hong Kong – Klabu ya Arsenal imejikuta ikianza maandalizi ya msimu mpya kwa kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Usafirishaji wa Mizigo kwa Treni ya Umeme ya SGR

PWANI – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Julai 31, 2025, ameongoza hafla ya kihistoria...

READ MORE

Shinda Kila Mzunguko, Spinoleague 2025 Yaja Kwa Kishindo

Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa wao ni mabingwa wa kutoa fursa zisizotarajiwa. Mwaka huu, wanawakaribisha watanzania wote kushiriki katika tukio la...

READ MORE

Ally Kamwe na Mchumba Wake Yasmine Wafanya Send-off Arusha – Video

ARUSHA – Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe, usiku wa kuamkia leo Julai 31,...

READ MORE

Silvia Sigula na Jacqueline Mzindakaya Watinga Ubunge wa Viti Maalum CCM

RUKWA – Katika mchakato wa kura za maoni za Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Rukwa,...

READ MORE

Azam FC Yamtambulisha Pape Doudou Diallo Kutoka Senegal

Klabu ya Azam FC imeendelea na harakati zake za kusaka ubingwa kwa msimu ujao kwa kumsajili rasmi winga hatari Pape...

READ MORE

Regina Ndege Aibuka Mshindi Kura za Maoni Viti Maalum CCM Manyara

Msimamizi wa uchaguzi wa kura za maoni za Ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara,...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Kiungo Alassane Kanté Kutoka Tunisia

Baada ya Rushine De Reuck Julai 29 akiwa ni beki na mchezaji wa kwanza kutambulishwa unyamani, Julai 30 nyota mwingine...

READ MORE

Juliana Shonza Aibuka Kinara Kura za Maoni za UWT Songwe

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, Juliana Shonza ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni...

READ MORE

SBL Yazindua Mpango Wa Kilimo Biashara Kuongeza Mavuno kwa Wakulima

Dar es Salaam, Tanzania , 31 Julai 2025: Mavuno hafifu yanayosababishwa na matumizi ya mbolea na viuatilifu bandia, mabadiliko ya...

READ MORE

Wazalishaji Wa Pombe Walalamikia Kuenea Kwa Pombe Haramu Nchini

Meneja wa Mradi wa Euromonitor, Benjamin Rideout, akizungumza kwenye mkutano wa wadau uliofanyika 30 Julai 2025 jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Mfungaji Namba 1 Aondoka? Ahoua Apigwa Bei Nzuri na JS Kabylie

Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Jean Charles Ahoua kwenye rada za Klabu ya JS...

READ MORE

Mashabiki Wapigwa Butwaa: Loveness Tarimo Apata Mimba?

Mashabiki wa mitandao ya kijamii wameachwa midomo wazi baada ya mrembo Lovless Tarimo, mwanamke mashuhuri kwa mwili wake wa misuli...

READ MORE

Serikali Yaipongeza St Anne Marie Academy Kwa Maendeleo ya Kitaaluma

SERIKALI imeahidi kuendelea kushirikiana na sekta binafsi katika elimu huku ikiipongeza shule ya St Anne Marie Academy ya jijini Dar...

READ MORE

Damu Yamwagika Dargo: JNIM Yadaiwa Kuua Kikatili Wanajeshi wa Burkina Faso

Inasemekana shambulio baya la kigaidi katika kambi ya jeshi huko Dargo, kaskazini mwa Burkina Faso, limewaua takriban askari 50. Kwa...

READ MORE

January Makamba Atoa Kauli ya Amani Baada ya Kutoteuliwa – Video

Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), January Makamba, amesema amekubaliana na uamuzi...

READ MORE