×

Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Dkt. Samia  Katika Mkutano Wa Actif 2025 Nchini  Grenada

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 27, 2025 amewasili mjini St. George’s, nchini Grenada ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

AS FAR Rabat Yaagana Rasmi na Henock Inonga Baka

Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya...

READ MORE

Kikao cha Kamati ya Maadili ya CCM Chafanyika Dodoma Usiku Kuchuja Majina ya Wagombea

Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa...

READ MORE

Nafasi za Kazi: Maafisa Mikopo 10 Wahitajika Haraka Wezesha Mzawa

Wezesha Mzawa Microfinance inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye hamasa na sifa stahiki kujiunga kama Maafisa Mikopo (Nafasi 10). Sifa...

READ MORE

Ajali Mbeya: Magari 5 Yapata Ajali, Mmoja Afariki Dunia, Mashuhuda Wasimulia – Video

Wakati taifa bado linaomboleza vifo vya wanafunzi sita waliopoteza maisha kwenye ajali ya hivi karibuni huko Chunya, mkoa wa Mbeya...

READ MORE

Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!

  MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo...

READ MORE

Aliyeua Wanafunzi Wanne Afungwa Kifungo cha Maisha

Bryan Kohberger, mwanafunzi wa shahada ya uzamifu katika sheria ya uhalifu, amehukumiwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa msamaha wa...

READ MORE

Jonathan Sowah Ajiunga Rasmi na Simba Kutoka Singida Black Stars

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kuondoka kwa mshambuliaji wao nyota, Jonathan Sowah, raia wa Ghana, ambaye amejiunga na...

READ MORE

NMB Yamwaga Mamilioni Maonyesho ya Kitaifa NaneNane

  BENKI ya NMB imekabidhi Sh milioni 100 kwa Wizara ya Kilimo ili kusaidia kwenye maandalizi ya maonyesho wakulima, wafugaji...

READ MORE

Nafasi za Kazi 526 Mweka, Muhimbili, TBC, NECTA, DIT, Mwisho maombi Julai 27

Jumla ya nafasi mia tano ishirini na sita (526) zinapatikana kama zilivyoainishwa katika tangazo hili. Waombaji wote wanapaswa kuwa na...

READ MORE

Mama Mjamzito Apoteza Makazi Magomeni, Afunguka Mazito – Video

Katika hali isiyotarajiwa, nyumba ya familia ya Mzee Kombo Mkabala iliyopo Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam, imevunjwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 27, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Kitabu cha ‘Moyo Wangu Unavuja Damu’ Kimezinduliwa

Kitabu kipya kiitwacho Moyo Wangu Unavuja Damu kimetambulishwa rasmi sokoni katika Makao Makuu ya Global Group, Sinza – Mori, ikiwa...

READ MORE

CCM Yapitisha Marekebisho ya Katiba kwa Kishindo – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Samia Suluhu Hassan, kimepitisha kwa kishindo marekebisho ya Katiba yake ya...

READ MORE

BBNaija Yarudi kwa Kishindo! Msimu wa 10 Wazinduliwa Rasmi Leo Nigeria

Tamasha maarufu la runinga barani Afrika, Big Brother Naija (BBNaija), limerudi kwa kishindo leo Julai 26, 2025, likianza msimu wake...

READ MORE

CCM Yapendekeza Marekebisho Madogo ya Katiba Kuboresha Mchakato wa Kura za Maoni – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimependekeza marekebisho madogo ya Katiba yake ya mwaka 1977 (toleo la Mei 2025), ili kutoa mamlaka...

READ MORE

Dkt Biteko Aongoza Mbio za NBC Dodoma Marathon, Mil 700 Zakusanywa Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto

NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko leo ameongoza washiriki zaidi ya 12,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika kwenye...

READ MORE

Mkutano wa Wajasiriamali wa Afrika-Asia Wasisitiza Maendeleo ya Vijana

Zaidi ya wajumbe wapatao 750 wamekusanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya mkutano wa wajasiriamali vijana...

READ MORE

Wikendi Yako Unaanzaje Bila Kubeti na Meridianbet

Kaa kijanja Jumamosi hii endapo kwa dau lako dogo tuu unaweza ukabashiri mitanange uipendayo hapa na wakali wa ubashiri. Jisajili...

READ MORE

Singida Black Stars Watamba na Sowah “Kama Una Bilioni 2.6 Njoo Uongee”

Klabu ya Singida Black Stars imetoa kauli ya kusisimua kuhusu mshambuliaji wao tegemeo, Jonathan Sowah, wakisisitiza kuwa hakuna timu yoyote...

READ MORE