×

Rais Samia Aongoza Kikao Cha Mwisho Cha Baraza La Mawaziri

Dodoma, 14 Julai 2025 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao...

READ MORE

Putin ataja kinachosababisha akosane na Nchi za Magharibi

Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema malengo ya kiukiritimba ya mataifa ya Magharibi na kutupilia mbali kwao wasiwasi wa kiusalama...

READ MORE

Msafara Wa Twende Butiama 2025 Wahitimishwa

Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha safari yao wilayani Butiama mkoa...

READ MORE

Ajali Ya Ndege London Kadhaa Wahofiwa Kufariki

Katika tukio la kushtua lililotokea leo jijini London, ndege aina ya Beech B200 Super King Air imeanguka muda mfupi baada...

READ MORE

Waziri Mkuu Aigiza Tantrade Kufanya Tahiti Ya Masoko Ndani Na Nje Ya Nchi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kuendeleza juhudi za kutafuta masoko ya nje ili...

READ MORE

Wananchi wa Buchosa Wamshukuru Rais Samia kwa Msaada wa Milioni 70 kwa Ujenzi wa Miundombinu

Wananchi wa Jimbo la Buchosa wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa shilingi...

READ MORE

Polisi Wamshikilia Leonard Magere wa Chadema kwa Tuhuma za Jinai

Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumshikilia Mtaalamu wa Raslimali, Miradi na Uwekezaji wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), Leonard...

READ MORE

Makalla: Tumeisoma Barua ya Polepole Mtandaoni, Lakini Bado Ni Mwanachama wa CCM – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA. Amos Makalla, amesema kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa...

READ MORE

Makamu wa Rais apongeza ukaribu wa Benki ya NMB na Serikali

Makamu wa Rais Dr Philip Mpango ameipongeza benki ya NMB kwa jinsi inavyoshirikiana na serikali katika matukio mbalimbali ya kijamii...

READ MORE

Chelsea Wafalme wa Dunia, Kombe la Dunia la Klabu la FIFA 2025

Kombe la Dunia la Klabu la FIFA 2025 limeacha historia mpya katika ulimwengu wa soka, likifanyika kwa mara ya kwanza kwa mfumo...

READ MORE

Majaliwa: Viongozi wa Dini Wasaidie Kulinda Maadili na Kukemea Dawa za Kulevya

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuendelea kuihimiza jamii kuzingatia msingi ya maadili...

READ MORE

Makalla: Hakuna Mtia Nia Aliyeenguliwa CCM, Mchakato Bado Unaendelea – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo . akiongea na Wandishi wa Habari leo...

READ MORE

Chelsea vs PSG: Fainali ya Kombe la Dunia la Klabu Kuamua Bingwa wa Dunia Leo

Leo ni siku ya kihistoria kwenye kalenda ya soka, Chelsea ya England itamenyana na mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain (PSG)...

READ MORE

Benki ya NBC Yazindua Msimu wa Pili wa Kampeni ya NBC Shambani Kuhamasisha Kilimo cha Kahawa Mkoa wa Ruvuma

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha msimu wa pili wa kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na...

READ MORE

Mchungaji Mfupi Leonard Afunga Ndoa Ya Kihistoria Na Mrembo Mrefu Eliza- Video

Mchungaji Leonard alivyomtambulisha mke Eliza nyumbani mara baada ya kufunga ndoa takatifu jana Julai 12, 2025 katika Kanisa la Pentekoste...

READ MORE

Humphrey Polepole Ajiuzulu Ubalozi Ampongeza Rais Samia Kwa Fursa

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ibada Ya Kuwekwa Wakfu Askofu Mteule Dkt. Daniel Mono

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kumweka wakfu na...

READ MORE

Kiungo wa Yanga Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Juni wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Simba Yaachana na Kiungo Fabrice Ngoma Baada ya Mkataba Kumalizika

Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kuachana na kiungo wake Fabrice Luamba Ngoma, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),...

READ MORE

Miloud Hamdi Atwaa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Juni wa NBC

Kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu ya NBC...

READ MORE