×

Aziz Ki Aondoka Rasmi Yanga, Ajiunga Na Wydad – Dili Lafungwa Kwa Bil. 1.7

Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imekamilisha rasmi uhamisho wa kiungo wake mahiri wa kimataifa kutoka Burkina Faso,...

READ MORE

Hersi: Lengo la Yanga CAF ni Hatua ya Makundi

Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, amesema kuwa malengo ya klabu hiyo kwenye michuano ya Ligi ya...

READ MORE

Israel Yadaiwa Kujaribu Kumlipua Rais Mpya wa Iran

Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ametoa madai mazito kwamba Israel ilijaribu kumuua wakati wa mvutano mkubwa wa kijeshi kati ya...

READ MORE

Msanii Lumole Matovolwa Aeleza Chanzo cha ‘Jobless wa Taifa’ – Video

Msanii wa filamu nchini, Lumole Matovolwa almaarufu Big au Kobisi Kikala, amefunguka kupitia Global TV na kufichua kuwa jina lake...

READ MORE

Kikosi Kipya Simba Chaanza Kuchukua Sura Mpya – Wachezaji wa Kigeni Wapunguzwa

JUMLA ya majina saba pekee kati ya 12 ya wachezaji wa kigeni ndiyo yametangazwa kubakishwa katika msimu ujao huku wengine...

READ MORE

China Yatoa Onyo Kwa Marekani Kuhusu Ushuru Mpya – Yaapa Kulipiza Kisasi

Serikali ya China imetoa onyo kali kwa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, kuhusu mpango wa kurejesha ushuru wa...

READ MORE

Prof. Nombo: Mafunzo Ya ADEM Ni Msingi Wa Elimu Bora Nchini

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya...

READ MORE

Manula Arudi Azam FC, Asaini Miaka Minne Mpya

Aliyekuwa kipa wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Aishi Salum Manula, amerudi rasmi katika klabu...

READ MORE

SportPesa Yazawadia Yanga Tsh Milioni 262.5 kwa Mataji Matano!

Kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa, ambayo pia ni mdhamini mkuu wa Klabu ya Young Africans SC, imeikabidhi klabu hiyo...

READ MORE

Miaka 5 ya Uongozi Madhubuti, Uadilifu, Unyenyekevu, Maono na Matokeo Makubwa

Kampuni ya Global Publishers leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya...

READ MORE

Televisheni ya Taifa Iran Yatangaza Vifo 1,060 Kufuatia Vita na Israel

Serikali ya Iran imetoa takwimu mpya za vifo vilivyosababishwa na vita vya hivi karibuni dhidi ya Israel, ikisema kuwa angalau...

READ MORE

Benki ya Absa Tanzania Yatangaza Washindi wa Wazo Challenge Tanzania 2025

Benki ya Absa Tanzania Yatangaza Washindi wa Wazo Challenge Tanzania 2025 •⁠ ⁠Biashara tatu bora za FinTech zachaguliwa kutoka kwa...

READ MORE

Pura yawataka wawekezaji kuja kuwekeza Katika masuala ya Nishati Safi

MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), imewataka wawekezaji kuja kuwekeza katika masuala ya Nishati Safi kutokana na...

READ MORE

Acer Yajizatiti Kupanua Soko Afrika Mashariki kwa Teknolojia ya Kisasa na Usambazaji wa Huduma Zake

Dar es Salaam, Tanzania – 9 Julai 2025: Kampuni ya Acer Inc., moja ya vinara duniani katika suluhisho la kisasa...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi TBL Azungumza na Wanahisa

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kiwanda cha Bia cha Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL Plc), Leonard Mususa leo...

READ MORE

Kikwete, Ashiriki Mkutano Maalumu London

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Afrika ulioandaliwa na Jarida la Uongozi la Afrika...

READ MORE

Donald Trump Kuhudhuria Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu FIFA

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa atahudhuria fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, itakayopigwa...

READ MORE

Said Mrisho: Nilitobolewa Macho, Nikachomwa Visu, Lakini Haki Yangu Haijatimia – Video

Kijana Said Mrisho, ambaye miaka tisa iliyopita alinusurika kifo baada ya kufanyiwa ukatili mkubwa wa kutobolewa macho na kuchomwa visu...

READ MORE

Ruto Atangaza Hatua Kali Dhidi ya Maandamano ‘Inatosha!’

Rais wa Kenya, William Ruto, ameapa kuchukua hatua kali kuhakikisha kuwa amani na utulivu vinarejea nchini, akisema yuko tayari kutumia...

READ MORE

DCEA Yatangaza Vita Dhidi ya Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Kupitia Maiti – Video

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema imegundua mbinu mpya na ya kushtua inayotumika kuingiza dawa...

READ MORE