×

Simba Yaibana Yanga Katika Mbio za Kumsajili Balla Moussa Conté

Klabu ya Simba SC ipo kwenye nafasi nzuri ya kukamilisha usajili wa kiungo chipukizi wa CS Sfaxien ya Tunisia, Balla...

READ MORE

Muuguzi wa India asubiri kunyongwa Julai 16

Na mwandishi wetu, Elvan Stambuli Nimisha Priya alihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamume mmoja ambaye alikuwa mshirika wake wa zamani...

READ MORE

Ancelotti Ahukumiwa Mwaka 1 Gerezani Na Faini Ya Billioni 1

Kocha wa zamani wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na kutozwa faini ya €386,000 (zaidi...

READ MORE

Baada ya Manula, Azam FC Yamtaka Chasambi Kutoka Simba

BAADA ya Aishi Manula kurejea ndani ya Azam FC akitokea Simba SC matajiri wa Dar wamepiga hodi tena kuulizia uwezekano...

READ MORE

Mnyika Awashauri Waliofungua Kesi Mahakamani Kuifuta – Video

Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amewataka wale waliokishtaki chama hicho kuhusiana na uwepo...

READ MORE

Rais wa Liberia Atoa Hotuba Yenye Mvuto White House, Trump Ampongeza – Video

Rais wa Liberia Joseph Nyuma Boakai alitoa hotuba yenye mguso wa kipekee katika Mkutano wa Viongozi wa Afrika Magharibi uliofanyika...

READ MORE

RC Chalamila Ataka Wataalam Kuja Na Suluhu Ya Msongamano Wa Magari Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka Wakuu wa wilaya za Ilala,Temeke na Kigamboni, wakurugenzi wa...

READ MORE

Kuelekea NBC Dodoma Marathon: Benki ya NBC Yakabidhi Pikipiki 10 Kwa jeshi la Polisi Kuimarisha Usalama, Yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

Waandaaji wa mbio za NBC Dodoma Marathon, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo wamekabidhi pikipiki 10 zenye thamani ya...

READ MORE

Vodacom na Stanbic Wakabidhi Msaada wa Miche na Vifaa Singida

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya...

READ MORE

Gari Lililobeba Maiti Lapinduka Na Kuua Watu Wawili Na Kujeruhi Wengine Morogoro, Kamanda Aeleza – Video

JESHI la Polisi mkoani Morogoro limemkamata Mohammed Said Kisukari (43), dereva, mkazi wa Kimara, Mkoani Dar es salaam kwa kosa...

READ MORE

Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein, Afariki Dunia

Taifa la Kenya limegubikwa na huzuni kufuatia kifo cha Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein, ambaye alifariki dunia Jumatano,...

READ MORE

Aunty Ezekiel Afunguka Sababu ya Kwenda Bodi ya Filamu – Video

Msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel, amejitokeza leo Alhamisi Julai 10, 2025 katika ofisi za Bodi ya Filamu...

READ MORE

Bilioni 6 Zipo Mezani Kwenye Playson Short Races Leo

Meridianbet imeleta mashindano ya Playson Short Races ambayo yanakupa nafasi ya kushinda mamilioni ya pesa. Hii ni moja ya fursa...

READ MORE

Kesi ya Mgogoro wa Rasilimali CHADEMA Yasitishwa, Hatima ya Jaji Mwanga Kusubiriwa – Video

Dar es Salaam, Julai 10, 2025 – Kesi namba 8323/2025 inayohusu mgawanyo wa rasilimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Cheza Aviator, Shinda Simu ya Kisasa Kila Jumatatu – Ofa Kabambe kutoka Meridianbet!

Kwa wale wote wenye mapenzi ya dhati na michezo ya kasino mtandaoni na kwa wale ambao hawakuwahi kushiriki michezo hii...

READ MORE

Aziz Ki Aondoka Rasmi Yanga, Ajiunga Na Wydad – Dili Lafungwa Kwa Bil. 1.7

Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imekamilisha rasmi uhamisho wa kiungo wake mahiri wa kimataifa kutoka Burkina Faso,...

READ MORE

Hersi: Lengo la Yanga CAF ni Hatua ya Makundi

Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, amesema kuwa malengo ya klabu hiyo kwenye michuano ya Ligi ya...

READ MORE

Israel Yadaiwa Kujaribu Kumlipua Rais Mpya wa Iran

Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ametoa madai mazito kwamba Israel ilijaribu kumuua wakati wa mvutano mkubwa wa kijeshi kati ya...

READ MORE

Msanii Lumole Matovolwa Aeleza Chanzo cha ‘Jobless wa Taifa’ – Video

Msanii wa filamu nchini, Lumole Matovolwa almaarufu Big au Kobisi Kikala, amefunguka kupitia Global TV na kufichua kuwa jina lake...

READ MORE

Kikosi Kipya Simba Chaanza Kuchukua Sura Mpya – Wachezaji wa Kigeni Wapunguzwa

JUMLA ya majina saba pekee kati ya 12 ya wachezaji wa kigeni ndiyo yametangazwa kubakishwa katika msimu ujao huku wengine...

READ MORE