×

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Maadhimisho Ya Siku Ya Kimataifa Ya Uelewa Kuhusu Ualbino

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwaleo Juni 13, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu HAssan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya...

READ MORE

SMZ imeweka mkazo kuifungua Pemba kiuchumi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali imeweka mkazo maalum...

READ MORE

Israel Yaanzisha Mashambulizi Makubwa Dhidi Ya Iran – Picha

Israeli imeanzisha mashambulizi makubwa dhidi ya Iran, ikilenga mpango wake wa nyuklia na viongozi waandamizi wa kijeshi katika mashambulizi ambayo...

READ MORE

Masaju Ateuliwa Jaji Mkuu Kumrithi Profesa Ibrahim – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Jaji...

READ MORE

Mbeto asema kumzuia raia yoyote asipige kura ni kosa la jinai

Na Mwandishi wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimesema raia kutopiga kura kwa hiari yake si kosa la jinai bali akitokea...

READ MORE

Manchester City Yamnasa Kiungo Chipukizi wa Norway, Sverre Nypan

Klabu ya Manchester City imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo chipukizi wa Norway, Sverre Nypan, kutoka klabu ya Rosenborg kwa ada...

READ MORE

Simba Yakataa Mabadiliko ya Ratiba ya Mchezo Dhidi ya Yanga

Dar es Salaam, Juni 12, 2025 – Klabu ya Simba SC imethibitisha kuwa itaingia uwanjani kushiriki mchezo namba 184 dhidi...

READ MORE

Wasira: Uhuru wa Maoni Sio Ruhusa ya Kutukana au Kuvunja Sheria

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni...

READ MORE

Taarifa Ya Polisi Ajali Iliyoua Watu 9 Na Kujeruhi 44, Kamanda Afunguka Ajali – Video

Watu 09 wamefaniki na wengine 44 kujerubiwa katika ajali ilyotokea majira ya Alfajiri eneo la Lugono Wilaya ya Mvomero mkoani...

READ MORE

Waziri Mwigulu Awasilisha Bajeti Kuu Ya Serikali 2025/26 Bungeni, Dodoma – Video

    Waziri wa Fedha wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba leo Alhamisi Juni 12, 2025, amewasilisha Hotuba ya Bajeti Kuu...

READ MORE

Wazazi Waaswa Kutochangia Mmomonyoko wa Maadili kwa Watoto

Polisi Kata wa Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti mkoani Mara Sajenti Emmanuel, ametoa wito kwa wazazi kutokuwa chanzo cha...

READ MORE

Rais Samia Afuatilia Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025/26 – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amelitangazia bunge kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa...

READ MORE

Makalla: Awamu ya Pili Mradi wa Maji Mwanga Same Korogwe Kutekelezwa

Amempongeza Dr samia kutoa fedha Biloi 400 kutekeleza mradi mkubwa maji. Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Akifuatilia Bajeti Kuu Ya Serikali

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefuatilia Hotuba ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Bajeti...

READ MORE

Zawadi Kila Wiki, Watu 150 Wakishinda, Hii Ndio Maana ya Spin-O-Mania!”

Je unajuwa kuwa promosheni hii mpya ambayo imekuja ndani ya Meridianbet kila wiki washindi wanajinyakulia maokoto?. Kama hujajua basi nimekujuza...

READ MORE

Rais wa Kenya Asema Mwanablogu alikufa ‘Mikononi Mwa Polisi’

Rais wa Jamhuri ya Kenya William Ruto amesema Jumatano kuwa kifo cha mwanablogu aliyekuwa kizuizini polisi kilitokea mikononi mwa polisi,...

READ MORE

Breaking: Ndege Ya Air India Yaanguka Dakika Chache Baada ya Kuruka Ikiwa na Watu 242 – Video

Ndege ya Air India Boeing 787 Dreamliner iliyokuwa safarini kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sardar Vallabhbhai Patel, Ahmedabad,...

READ MORE

Binti Atelekezwa na Dereva Boda Baada ya Ahadi ya Laki 3, Mama Aomba Msaada – Video

Mama mzazi wa binti aliyedanganywa na dereva bodaboda kwa ahadi ya shilingi laki 3 kwa ajili ya matibabu, na hatimaye...

READ MORE

Prof. Mkumbo Aibua Shangwe Bungeni, Uchumi wa Nchi Yetu Unakua – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa licha ya hali ya uchumi...

READ MORE

Umma Usipotoshwe Kuhusu Kesi ya Chadema : Mawakili wa Mdai

Wajumbe wawili wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Zanzibar na makamu mwenyekiti mstaafu wa...

READ MORE