×

Calissah Afunga Ndoa Aeleza Mwanamke Aliyemuoa, Itakushangaza – Video

Msanii Calissah amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Mwanamke aliyemuoa alikaa naye kwa muda wa Mwezi 1 na kisha...

READ MORE

Namna Ya Kuishi Na Mpenzi Mwenye Mawazo Hasi, Soma Hapa

MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli...

READ MORE

Watu 1600 Wanufaika na Kambi ya Matibabu ya Macho Bure Wilayani Karagwe

  Watu 1600 wamepatiwa huduma ya matibabu ya macho wilayani KARAGWE Mkoani KAGERA huku wazee na watoto wakiwa ni waathirika...

READ MORE

Kesi ya Talaka Ilimnyima Kila Kitu Lakini Alirudi Tena Mahakamani na Sasa Ana Mali na Watoto Wake Wote

Siku niliyoingia mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi yangu ya talaka, nilijua maisha yangu yalikuwa yanavunjika vipande vipande. Mume wangu...

READ MORE

Waziri Mkuu Ahani Msiba Wa Mzee Mongela Makongo Juu jijini Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025. amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama...

READ MORE

Mbunge Shigongo Aeleza Hatari Ya Homa Ya Ini Nchini, Aomba Serikali Kuwachanja Watanzania – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameitaka serikali kuchukua hatua zaidi za kudhibiti homa ya ini (Hepatitis B) ambayo kwa sasa...

READ MORE

Mbeto: Askofu Gwajima Alitaka Unaibu Waziri Kwa Rais Samia Akanyimwa – Video

Kupitia kipindi cha Front Page ya @255globalradio na Global TV, Katibu wa Kamati Maalumu ya NEC, Idara ya Itikadi, Uenezi...

READ MORE

Superheli Kukuzawadia Samsung A25 Mpya

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, kama unataka kushinda Samsung A25 mpya kupitia kwenye promosheni yao mpya ya mwezi...

READ MORE

Iran Yatoa Mwito wa Kusitishwa Mapigano Gaza

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, ametoa mwito wa kusitishwa haraka mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko Ghaza na...

READ MORE

Benki ya NBC, Mbogo Ranches Zasaini Makubaliano ya Utoaji Mikopo ya Mbegu Bora ya Mifugo kwa Wafugaji

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Mbogo Ranches yanayotoa fursa kwa wafugaji nchini...

READ MORE

Polisi Watekeleza Agizo la Kusitisha Shughuli za Kanisa la Askofu Gwajima

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam SACP, Jumanne Muliro amesema Jeshi hilo limeanza kutekeleza sheria na kuhakikisha...

READ MORE

Kijana Afariki Dunia: Ajinyonga Kwa Kutumia Manda Wa Suruali

Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Halla, wilayani Babati, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa...

READ MORE

Exclusive: Sheikh Walid Afichua Ukweli Wa Ndoa ya Diamond Na Zuchu – Video

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Waleed Alhad Omar Kawambwa amethibitisha kuwa msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond...

READ MORE

Nafasi za Kazi 13 Mhudumu wa Huduma kwa Wateja Job Junction Tanzania

CUSTOMER CARE PARSON (13) Details Business name : JOB JUNCTION TANZANIA Work Type: Full Time Years of Experience 1 year...

READ MORE

Wanafunzi DIT, UDSM na UDOM Wapata Tuzo za Juu Nchini China

WANAFUNZI na wakufunzi wa vyuo vikuu kutoka Tanzania wameibuka washindi katika shindano la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) la...

READ MORE

Nafasi za Kazi Wilaya ya Mvomero, Sumbawanga, Wilaya ya Tanganyika na Wilaya ya Mlele

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Manispaa ya Sumbawanga, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika na Halmashauri ya Wilaya...

READ MORE

Mbinu ya kuzishika fedha na kubakia nazo kwa muda mrefu

Ushawai kujiuliza kwanini watu wengine wanafanikiwa kimaisha huku wewe ukibakia fukara, yaani ni kama vile wewe sio binadamu au haufanyi...

READ MORE

Kanisa La Askofu Gwajima Lafungiwa – Video

Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini ametangaza rasmi kufutwa kwa usajili wa Glory of Christ Tanzania Church, Kanisa la Ufufuo...

READ MORE

Internet Society (ISOC) Makao Makuu Yatembelea Miradi Nchini Tanzania

Uongozi wa Makao Makuu ya Internet Society kutoka Marekani umetembelea   Tanzania kuangalia shughuli zinazotekelezwa na Chapter ya Tanzania ikiwemo mradi...

READ MORE

Balozi Nchimbi Awasili Songea Mazishi Ya Mzee Songambele

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani...

READ MORE