×

Trump: Sifanyi mzaha nitagombea urais 2029

Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa hafanyi mzaha kuhusu nia yake ya kutaka kugombea tena Urais wa nchi hiyo...

READ MORE

Kocha Simba Atamba Kupata Ushindi dhidi ya Al Masry ya Misri

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mchezo wao wa Kombe...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Mwinyi Ajumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Fitr

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam...

READ MORE

Chadema Yamuonya Sigrada Mligo Kutumika Vibaya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Sala ya Eid Al Fitr Kitaifa Kwenye Msikiti wa Mfalme wa VI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, 2025 amejumika na waisalamu wengine kusali...

READ MORE

Tabora United Waitambia Yanga mchezo wa ligi ‘Tunahitaji Pointi Tatu’

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga...

READ MORE

Majaliwa: Nimeridhishwa Na Maandalizi Kuelekea Kuwashwa Kwa Mwenge Wa Uhuru

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua za maandalizi kuelekea sherehe za kuwashwa kwa Mwenge wa Uhuru ambao utazunguka...

READ MORE

Watu Zaidi 1, 700 Wamefariki katika tetemeko la ardhi Myanmar

Watu zaidi ya 1,700 wamepoteza maisha, kufikia siku ya Jumamosi nchini Myanmar kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katika maeneo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 31, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Ajali Iliyomuua OCD Awadh Akamatwa ”Alikimbilia Mbeya Kujificha”- Video

Jeshi la Polisi limemkamata Elia Asule Mbugi almaarufu Dogo Bata, Mnyakyusa, mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa Segerea, dereva...

READ MORE

Wikendi ya Ushindi Hii Hapa

Wenzako wakipiga pesa ndani ya Meridianbet wewe huwa umelala, basi mimi leo nakwambia hivi amka na ubashiri hapa kwani timu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Viwanja Vitakavyotumika Chan Agosti 2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya...

READ MORE

Polisi Unguja Yatoa Onyo Watakaofanya Vitendo Vya Uvunjifu Sikukuu Ya Eid El Fitri

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja limesema litawachukulia hatua kwa mujibu wa sheria watakaofanya vitendo vya ufunjifu wa Amani...

READ MORE

Video: Mauaji Ya Kutisha! Kijana Apasuliwa Kichwa Na Mume Wa Mtu Kisa Kumfungulia Geti Mke

Yapo baadhi ya matukio yanayouma mno moyo na kuacha majeraha yasiyopona. Vuta picha kijana wako yupo nje na wenzake, wewe...

READ MORE

NCCR Mageuzi Yamteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania

  Chama cha NCCR Mageuzi Machi 29, 2025, kimetangaza kumteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano...

READ MORE

Leyla Akutana Na Baba’ake Baada Ya Miaka 3, Atokwa Machozi – Video

Leyla Shabani Mrosa (23), binti aliyepata ufaulu mkubwa na kufadhiliwa kusoma nchini India lakini baadaye kukatisha masomo kutokana na ugonjwa,...

READ MORE

wizara ya elimu yatenga milion 50 kuchagiza masomo ya sayansi na hisabati

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetoa motisha ya sh. milioni 50 kwa wahadhiri kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali nchini wanafundisha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 30, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Kamati Ya Usalama Barabarani Arusha Yakabidhi Vifaa Vya Tehama Polisi Arusha

Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa Arusha Machi 28, 2025 imekabidhi kompyuta kwa kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha...

READ MORE

Makamu Wa Rais dKT. Mpango Azindua Matawi ya Nmb

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa wananchi kuepuka wakopeshaji binafsi...

READ MORE