×

AVODA Group Kuwawezesha Wajasiriamali

Dar es Salaam 27 Machi 2025: Wajasiriamali nchini wanakabiliwa na changamoto kadhaa zinazowazuia kufanikisha malengo yao, zikiwemo ukosefu wa mitaji,...

READ MORE

Anza Wikendi Yako Vyema, Odds bomba Zipo Hapa

Je unajua kuwa unweza ukaanza wikendi yako vyema ukiwa na Meridianbet siku ya leo?. ODDS BOMBA zipo hapa lakini pia...

READ MORE

UN yatiwa wasiwasi na hali tete Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema anasikitishwa sana na kuendelea kushtadi taharuki na hali ya mambo nchini...

READ MORE

Simba, Yanga Zagongana Kwa Mshambuliaji Mghana

WATANI wa jadi Simba na Yanga kwenye hesabu za kuboresha eneo la ushambuliaji inatajwa kuwa wamegongana kuwania saini ya raia...

READ MORE

Shekhe Kandauma: Ni Haramu Kwa Mwanaume Kumnunulia Abaya Mwanamke Ambaye Hajamuoa – Video

Kupitia kipindi cha Mapito, Shekhe Kandauma ameeleza kuwa ni haramu kwa mwanaume kumnunulia Abaya mwanamke ambaye hajamuoa. Video kamili ipo...

READ MORE

Marekani Yafuta Visa za Wanafunzi Walioshiriki Maandamano ya Kiuunga Mkono Palestina

Serikali ya Marekani imefuta visa za takriban wanafunzi 300 wa kigeni kama sehemu ya juhudi za kukabiliana na maandamano ya...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalum Wa Rais Samia Kwa Rais Wa Gambia

RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Machi 26, 2025 amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Dkt....

READ MORE

Puma Energy Tanzania yafuturisha Viongozi na Wadau

Kampuni ya PUMA Energy imeandaa futari maalum Zanzibar, ikikusanya pamoja wateja wake, viongozi wa dini na serikali , na wadau...

READ MORE

CHADEMA Waitisha kikao maalum na watia nia wa nafasi za ubunge

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuitisha kikao maalum na watia nia wa nafasi za ubunge kupitia chama hicho....

READ MORE

Mwandishi mkongwe Afrika, Shaka Ssali Afariki dunia

Mwandishi wa habari mkongwe Afrika, Shaka Ssali, mzaliwa wa Kabale, Uganda aliyekuwa akifanya kazi kwa muda mrefu katika Shirika la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 28, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

NBC Yaitambulisha “NBC Shambani’’ Kwa wakulima Songwe, Mbeya

  Katibu Tawala Wilaya ya Mbozi Bw Mbwana Kambangwa, (alieshika mkasi) akijipongeza sambamba na wadau wengine mara baada ya kuzindua...

READ MORE

CAG: TRC Yapata Hasara ya Tsh bilioni 224, TTCL hasara ya Tsh bilioni 27.78 – Video

 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dkt. Charles Kichere, leo Machi 27, 2025 akiwasilisha ripoti kuu...

READ MORE

CPA Makalla Avunja Ngome ya Chadema Mbeya, Awapokea Wanachama Wapya

Zaidi ya Wanachama wapya 50 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mbeya kutoka katika vyama vya upinzani wakitaja kuridhishwa...

READ MORE

CAG Kichere: Deni la Taifa Laongezeka Lafikia Trilioni 97.35 – Video

Leo Alhamisi Machi 27, 2025, Ikulu ya Magogoni Jijini Dar Es salaam, mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, Mdhibiti na...

READ MORE

Lipa ChapChap: Benki Ya Exim Yaja Na Mapinduzi Ya Malipo Kidijitali

Dar es Salaam – Benki ya Exim Tanzania imechukua hatua madhubuti katika kuunda mustakabali wa malipo ya kidijitali kwa kuzindua...

READ MORE

CHE Malone Out Simba, Kuwakosa Waarabu

BEKI wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids yupo nje kwenye mipango ya timu hiyo inayojiandaa kuwakabili...

READ MORE

Mchezo wa Kutengeneza Maokoto Kasino, Sloti ya Fairy In Wonderland

Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia...

READ MORE

Katibu wa CCM Mwanza Aonya Makatibu Kata na Matawi Kuhusu Upangaji wa Safu

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Omari Mtuwa amewaonya makatibu Kata na tawi wa CCM Mkoa wa Mwanza kuacha tabia...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Apokea Taarifa Ya Mwaka Ya Takukuru Na CAG 2023/2024 – (Picha + Video)

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akipokea Taarifa ya Mwaka ya TAKUKURU na Ripoti...

READ MORE