×

Pirates Legacy Kasino Yenye Jackpot Kubwa!!!

Ni siku nyingine tena njema na bora Zaidi ya kukufungulia dunia ya michongo, Leo nakupata siri kwenye mchezo wa kasino...

READ MORE

Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy 2025’ Yazinduliwa Rasmi

Mashindano ya  Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy’ msimu wa mwaka 2025  yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam huku mdhamini...

READ MORE

Wadau Wafanya Mkutano Kudhibiti Ukatili wa Kimtandaoni Dhidi ya Watoto

Dar es Salaam, 19 Machi 2025: Shirika lisilo la kiserikali la PDF (Peoples Development Forum) kwa kushirikina na wadau kutoka...

READ MORE

Mchungaji Mashimo Ahukumiwa Miaka Miwili Jela kwa kuharibu mali – Video

MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni, Dar es Salaam, imemhukumu mchungaji Daud Nkuba almaarufu Komando Mashimo, Nabii Nikaya, (Mchungaji Mashimo) kifungo cha...

READ MORE

Waziri wa Maji Jumaa Aweso atoa onyo Kwa DAWASA kuwaunganishia maji wananchi

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwaunganishia maji wananchi...

READ MORE

Chadema Yatoa siri Walichozungumza na Msajli

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jumanne Machi 18,2025 kimetoa siri kuhusiana na mkutano wao na msajli wa vyama vya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Wiki ya Maji Yaungwa Mkono na NMB, Yashiriki Katika Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji

  Benki ya NMB imeshiriki na kudhamini Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji lililofanyika jijini Dar es Salaam, ikiwa ni...

READ MORE

Wiki Nzima ya Kuadhimisha Wiki ya Maji Yatengwa

Kampuni ya bia Tanzani (TBL) , imetenga wiki zima ya kuadhimisha wiki ya maji. Ambapo jana mefadha hafla ya maadhimisho...

READ MORE

Maziko ya SP Awadh Chiko Yafanyika Kijeshi Makaburi ya Kisutu Dar – Video

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika SP Awadh Chiko umezikwa leo Machi 18, 2025 katika Makaburi...

READ MORE

Maandalizi Sikukuu za  Eid na Pasaka;  Wateja Benki ya NBC Sasa Kupata Punguzo la Asilimia 20 kwa Manunuzi

Dar es Salaam: Machi 21, 2025: Kuelekea Msimu wa Sikuku za  Eid na Pasaka, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC ) imeingia...

READ MORE

Majaliwa: VETA Toeni Mafunzo Yanayozingatia Soko La Ajira

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji...

READ MORE

Polisi Watakiwa Kuchukua Hatua Kwa Wanaojihusisha Na Vitendo Vya Ukatili Wa Kijinsia

Askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kuchukua hatua kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji dhidi ya...

READ MORE

EU: Trump Ni Janga Baya Kuliko Corona

Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump...

READ MORE

UN: Vita DRC ‘Imezalisha’ Wakimbizi 100,000

Umoja wa Mataifa (UN) unaripoti kuwa mapigano ya silaha katika jimbo la Ituri, Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

READ MORE

Wakali Wa Pasi Bongo, Fei Toto Akimbiza Ligi Kuu Tanzania Bara

KWENYE idara ya kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora...

READ MORE

Mchongo Ni Blackjack Live Ya Meridianbet

Mchezo wa Blackjack Live        Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na...

READ MORE

Mzize ana ofa Tatu Uturuki, kutimka mwishoni mwa msimu

INEALEZWA kuwa mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize anatajwa kuhitajika na Klabu Tatu kubwa kutoka Ligi Kuu ya Uturuki na tayari...

READ MORE

Mwili Wa Ocd Awadh Wawasili Nyumbani Kwake, Viongozi Mbalimbali Wafika Msibani – Video

Hali ilivyo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika, SP Awadh Mohamed Chiko Kijitonyama jijini Dar es...

READ MORE

Shamsa: Hakuna mtu Anayemfikia Mumewe Wangu – Video

Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema hakuna mtu anayemfikia mumewe kwenye suala zima la uigizaji nchini na kuongeza...

READ MORE