×

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Samia katika maombi maalum ya kuliombea Taifa Viwanja wa Leaders

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Februari 28, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maombi maalum ya kuliombea Taifa yaliyondaliwa...

READ MORE

Trump na Zelensky Wazozana Ikulu, Mkutano Wavunjika -Video

Mkutano uliofanyika White House kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Ijumaa uliolenga kufikia...

READ MORE

Hizi Hapa Njia 9 za Kuimarisha Kinga ya Mwili Wako

UKITAKA kuimarisha kinga ya mwili wako ili kukabiliana na magonjwa ni lazima kufanya mabadiliko katika chakula na mtindo wa maisha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 1, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi Jenerali Mkunda Awavisha Nishani Maafisa na Askari wa JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi...

READ MORE

Rais Samia Afunguka Mipango Mikubwa Aliyonayo Tanga ya Viwanda – (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza matamanio yake kwa mkoa wa Tanga, akisema serikali...

READ MORE

Yanga Yashinda 3-0 Dhidi Ya Pamba Jiji, Aziz Ki Atupia Magoli Mawili

AZIZ Ki ambaye alianzia benchi kwenye mchezo dhidi ya Pamba Jiji, Uwanja wa CCM Kirumba amepachika mabao mawili kati ya...

READ MORE

Jeshi La Israel Lakiri Udhaifu Kuzuia Shambulio La Hamas

Jeshi la Israel limekiri kwamba kulikuwa na udhaifu katika kuzuia shambulio la wapiganaji wa Hamas la Oktoba 7, 2024, na...

READ MORE

Sinza Bodaboda Cup: Vumbi Limetimka, Lakini Hakuna Mbabe!

Uwanja wa Masjid Quba, Sinza, uligeuka uwanja wa vita jioni hii, waendesha bodaboda wanaoshabikia Simba na Yanga wakimenyana kwenye Sinza...

READ MORE

Rais Samia Kuzungumza Na Wananchi Mkwakwani

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa, Februari 28, 2025, anaendelea na ziara yake mkoani Tanga katika Jimbo la Tanga Mjini,...

READ MORE

RC Makonda Atoa Mwezi Mmoja, Takukuru Kuwapata Waliokwapua Milioni 400 Za Waendesha Bodaboda

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda Alhamisi Februari 27, 2025 ameipa mwezi mmoja Taasisi ya kupambana na kuzuia...

READ MORE

Jeshi la Burundi Lakanusha Kuhusika na mashambulizi ya Mabomu Bukavu – Video

Jeshi la Burundi limekanusha ripoti kwamba lilihusika na mashambulizi ya Mabomu huko Bukavu, Kivu Kusini, ambako mkutano wa AFC/M23 ulikuwa...

READ MORE

Chadema Wazindua Mkakati Maalum Wa Kidigital Tone Tone Jijini Dar (Picha +Video)

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu amewaomba watanzania kukiunga mkono chama hicho kwa kukichangia kupitia mkakati wa...

READ MORE

Hatua Muhimu Ili Kuondokana na Madeni Yanayokuandama

Jina langu ni Musa kutokea Katavi, niliwahi kupitia hali ya kupata fedha mwisho wa mwezi lakini yote inaishi kwenye kulipa...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Alivyowasili nchini Namibia ambapo kumwakilisha Rais Samia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango Februari 27, 2025 amewasili Jijini Windhoek nchini Namibia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 28, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Baba Ataja Sababu Gideon Kukatwa Mkono, Alizaliwa Akiwa Mzima

Unaambiwa kabla hujafa, hujaumbika! Mkasa wa mtoto Gideon Yohana mwenye umri wa miaka 10 tu, unasikitisha sana. Alizaliwa akiwa mzima...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi na kumpangia kituo cha kazi balozi

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kumpangia kituo cha kazi balozi.

READ MORE

Rais Samia Asimama Na Kumpisha Kwenye Kiti Mtoto Wa Form 2, Amkumbatia Baada Ya Kukoshwa Na Maneno – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi mbalimbali...

READ MORE

Hamas yakabidhi maiti wanne wa Waisrael

Vyombo vya habari vimeripoti mapema leo Alhamisi kwamba mchakato wa kuwaachilia huru mateka wa Kipalestina umeanza baada ya HAMAS kukabidhi...

READ MORE