×

Ishi Kifalme na Deuces Wild Poker Kasino ya Utajiri

Deuces Wild Poker Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Jinsi Wanawake Wanavyoweza Kuepuka Aibu ya Kukaa Muda Mrefu Bila Kuolewa

Unajua hapa duniani kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mwanaume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na...

READ MORE

Nicole Joeberry Matatani kwa Tuhuma za Utapeli Mtandaoni

Zaidi ya watu 20 wamefika katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es Salaam Machi 4, 2025 wakidai kutapeliwa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 13 Za Mkataba Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE)

Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uhitaji unaostahili ili kujaza nafasi za kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja...

READ MORE

Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba Awasili nchini

Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba, Esteban Lazo Hernandez, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi...

READ MORE

Wolf Land Kasino ya Meridianbet Yenye Ushindi Rahisi!!

Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya...

READ MORE

Kenya Yakabiliana Na Mlipuko Wa Ugonjwa Usiojulikana Katika Jimbo La Kisii

Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza kuwa, imo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeathiri zaidi ya watu...

READ MORE

CCM Yawaonya Wanaojipitisha Majimboni na Utenguzi wa Wajumbe

Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla ametoa maelekezo kwa watendaji wa chama hicho ngazi zote nchini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 5, 2025

  Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote...

READ MORE

NBC Yajizatiti Kushirikiana na Halmashauri Kudhibiti Upotevu wa Mapato, Kuunga Mkono Agizo la Rais Samia

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kushirikiana na halmashauri pamoja na mamlaka zote za tawala za...

READ MORE

CPA Makalla: Lissu na Wenzake Hawana Mamlaka ya Kuzuia Uchaguzi

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapunduzi (CCM),CPA Amos Makala amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama...

READ MORE

DC Temeke na Mbunge Kilave Wawafunda Bodaboda Kuiheshimu Kazi Yao

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda pamoja na Mbunge wa Jimbo hilo Dorothy Kilave wamewaasa maafisa usafirishaji kwa njia...

READ MORE

Polisi Watoa Msaada Kwa Wanafunzi Wenye Ulemavu, Jamii Yatakiwa Kuwakumbuka Wenye Uhitaji

Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye...

READ MORE

20 Wakamatwa Kwa Kula Mchana Mwezi Wa Ramadhan

Jeshi la Polisi wa Kiislamu (Hisbah) katika Jimbo la Kaskazini Nigeria la Kano, wamewakamata waumini wa dini ya Kiislamu waliokutwa...

READ MORE

Rais wa Guinea-Bissau Embalo Atoa Tishio Dhidi Ya Ujumbe Wa ECOWAS Katika Mzozo Wa Uchaguzi

Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametishia kuufukuza ujumbe wa kisiasa uliotumwa nchini mwake na Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika...

READ MORE

Trump Asitisha Misaada Ya Kijeshi Ukraine

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia kuvunjika kwa mkutano kati yake na Rais...

READ MORE

Meridianbet Kukupatia Mzigo Mkubwa Leo

Jumanne ya leo kama kawaida ni mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya ambapo ODDS KUBWA zipo na machaguo ambayo unayataka....

READ MORE

Feza Kessy Ashangazwa na Ali Kamwe “Aliomba Namba, Kisha Akapotea!”

Msanii wa Bongo Flava, Feza Kessy, ameeleza kushangazwa na kitendo cha Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, kumuomba namba ya...

READ MORE

Siri Iliyowasaidia Wanandoa Wengi Kudumu Kwenye Ndoa kwa Muda Mrefu

Jina langu ni Fatma kutokea Tanga, nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, hakika naweza kusema mimi ni miongoni mwa...

READ MORE