×

Dkt. Nchimbi Apokea Risala ya Wajumbe wa NEC, Waunga Maazimio ya Mkutano Mkuu CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi jana tarehe 27 Januari 2025, amepokea risala ya...

READ MORE

Amfumania Mkewe na Mtoto wa Kambo Chumbani

Jina langu ni Sele Mutiso, mkazi wa Mwingi Town nchini Kenya, leo nitasimulia hadithi ambayo imetikisa familia yangu kwa kiasi...

READ MORE

Marekani Kupeleka Mabomu 1,800 Ya MK-84 Kwenda Israel

Marekani imetangaza kusafirisha mabomu 1,800 ya aina ya MK-84 kwenda Israel katika siku chache zijazo, mabomu hayo yenye uzito wa...

READ MORE

Trump Kusitisha Misaada,Tacaids Yawatoa Hofu Watumiaji Wa ARVs

Kaimu mkurugenzi mtendaji wa tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt.Catheren Joachim amesema serikali ya Tanzania itaendelea kulinda usalama wa...

READ MORE

Waasi wa M23 Waingia katikati ya mji mkubwa mashariki wa Congo

Waasi wa M23 wanaelezwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza kuwa wameukamata mji mkubwa wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia...

READ MORE

Rais Wa Malawi Yuko Tanzania Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Nishati Wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi Mbalimbali Ikulu – Picha

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini...

READ MORE

Tanzania Yampokea Rais wa Burundi kushiriki Mkutano wa Nishati

Rais wa Jamhuri ya Burundi, Évariste Ndayishimiye, amewasili jijini Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...

READ MORE

Msama Apewa Tuzo ya Heshima na Chama cha Muziki wa Injili nchini (CHAMUITA)

Mkurugenzi wa Msama Promotions Alex Msama amepewa tuzo ya Heshima na Chama cha Muziki wa Injili nchini (CHAMUITA) kama Muandaaji...

READ MORE

Bodaboda Wapewa Sare Zitakazowatambulisha Kukabiliana Na Uhalifu

Katika kuhakikisha matukio ya uhalifu yanayotekelezwa na baadhi ya waendesha pikipiki, Mkaguzi Kata ya Kati Jijini Arusha Mkaguzi Msaidizi wa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi: Accounting Officer Brecol, Mwisho wa Kutuma Maombi Jan 31, 2025

Job Title: Accounting Officer Department: Finance Reports To: CHIEF ACCOUTING OFFICER [CAO/CFO] Summary: The Accounting is a senior executive responsible...

READ MORE

Trump: Wapalistina Wahamishwe Gaza

Rais Donald Trump wa Marekani amependekeza Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wahamishwe katika ardhi yao hiyo na kupelekwa nchi jirani...

READ MORE

Oryx Gas Yakutana na Mawakala Mikoa Yote Kuweka Mikakati ya 2025

  Mkurugenzi Mtendaji wa Oryx Gas Tanzania, Araman Benoit akizungumza kwenye mkutano huo. KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imewakutanisha mawakala...

READ MORE

Dkt. Biteko Awapa Pole Bukombe Kufuatia Ajali ya Radi

Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa...

READ MORE

Dkt. Biteko Afungua Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Africa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akifungua Mkutano wa Nishati Barani Afrika (Africa Energy Summit, 2025)...

READ MORE

Aliyepandikizwa Figo Ya Nguruwe Aweka Rekodi Duniani – Video

Towana Looney, mwanamama kutoka Alabama nchini Marekani ameingia kwenye rekodi baada ya kupandikizwa figo ya nguruwe ambapo mpaka sasa, zikiwa...

READ MORE

Heri ya Kuzaliwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Tunakuombea Maisha Marefu

  Siku kama ya leo, Januari 27, 1960, Rais Samia Suluhu Hassan alizaliwa. Kampuni ya Global Publishers, uongozi na wafanyakazi...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Niger alivyotua Tanzania Kushiriki Mkutano wa Nishati

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Niger, Ali Mahaman Lamine Zeine, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uganda, Robinah Nabbanja Atua Dar Kushiriki Mkutano wa Nishati

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Robinah Nabbanja, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa...

READ MORE

Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu Alivyotua Dar Kushiriki Mkutano wa Nishati – Video

Rais wa Jamhuri ya Nigeria, Bola Ahmed Tinubu , amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa...

READ MORE