×

Mabingwa wa Dunia 2026 Kupewa Pete Maalum za Ubingwa Kwa Mara ya Kwanza

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeamua kuanzisha utamaduni mpya katika historia ya Kombe la Dunia kwa kuwazawadia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 18, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Shauri la Kupinga Tume ya Jaji Lila

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imetupilia mbali shauri la kupinga uteuzi wa Makamishna wa Tume ya Rais...

READ MORE

Rumble Kong CASHINGO Na Mbinu Mpya Za Ushindi

Watu wamezoea kasi, msisimko na burudani isiyoisha. Sasa Meridianbet inaleta moto mpya kupitia Rumble Kong CASHINGO, mchezo wa sloti kutoka...

READ MORE

Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi Kuanza Ziara ya Kitaifa Nchini Kesho

Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Abdel Fattah El-Sisi, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho Julai 18, 2026 kwa ziara...

READ MORE

Je, Marioo Amefunga Ndoa Kimya Kimya? Picha Zake Zazua Mjadala

Msanii wa Bongo Fleva Marioo ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kushiriki picha kupitia ukurasa wake wa Instagram zinazoonekana kuashiria...

READ MORE

Mzamiru Yassin Aaga Rasmi Simba Baada ya Miaka Tisa ya Utumishi

Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kuachana na kiungo wake mkongwe Mzamiru Yassin, baada ya mkataba wake kumalizika, ikiwa ni...

READ MORE

Iran Yalipiza Kisasi Baada ya Marekani Kushambulia Madaraja na Uwanja wa Ndege – Video

Mapigano kati ya Marekani na Iran yameingia katika hatua mpya ya hatari baada ya pande zote mbili kuanza kushambulia miundombinu...

READ MORE

Msaidizi wa Trump Asimamishwa Kazi kwa Tuhuma za Kutengeneza Mamilioni

Ikulu ya Marekani imemsimamisha kazi kwa muda bila malipo mmoja wa waendeshaji wa muda mrefu wa teleprompter wa Rais Donald...

READ MORE

Wachezaji Wapewa Nafasi ya Kung’ara Katika Mechi za Kirafiki

Wachezaji ambao ni wapya na wasio wapya wamepewa nafasi ya kung’ara kwenye mechi hizi za kirafiki ambazo zinaendelea. Je wewe...

READ MORE

Kilombero Sugar Yachangia Miradi ya Maendeleo Bonde la Kilombero

Morogoro, 17 Julai 2026 – Kampuni ya Sukari Kilombero, ambayo ni mzalishaji mkubwa wa sukari nchini, imeendelea kuthibitisha dhamira yake...

READ MORE

Messi Afunguka Baada ya Argentina Kutinga Fainali Kombe la Dunia, Aitahadharisha Hispania

Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, amesema hakushangazwa na uwezo wa timu yake kupindua matokeo na kuiondoa England kwa ushindi wa...

READ MORE

Trump Atoa Nyaraka za Siri, Aishutumu China Kuingilia Uchaguzi wa Marekani 2020

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuondoa usiri wa nyaraka anazodai zinaonyesha kuwa China iliingilia uchaguzi wa urais wa mwaka...

READ MORE

Jacqueline Wolper Afichua Tabia za Kajala, Aunty Ezekiel na Irene Uwoya

Staa wa filamu za Bongo na mfanyabiashara, Jacqueline Wolper, amefunguka kuhusu tabia za marafiki zake wa karibu akiwemo Kajala Masanja,...

READ MORE

Iran Yadai Kushambulia Kituo cha Marekani Syria, Yatoa Tishio Jipya Hormuz

Iran kupitia Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC) imedai kuwa imefanya shambulio dhidi ya kile ilichokitaja kuwa kituo cha operesheni...

READ MORE

MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia

Kampuni ya MiXX imeendelea kuwafurahisha wateja wake kupitia kampeni ya “Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu… Golii!”, inayowapa nafasi watumiaji...

READ MORE

Hal Williams Aaga Dunia, Aacha Urithi Mkubwa Hollywood

Mwigizaji mkongwe wa Marekani, Hal Williams, anayekumbukwa zaidi kwa nafasi yake ya Afisa “Smitty” Smith katika kipindi maarufu cha televisheni...

READ MORE

Euromoney Yaitaja Nmb Benki Bora Zaidi Tanzania Kwa Wafanyabiashara

  Benki ya NMB Plc imetajwa kuwa Benki Bora Zaidi nchini kwa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati katika Tuzo za...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 17, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Umoja Wenye Malengo Kukabili Changamoto Zinazoibuka, SADC

Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto...

READ MORE