×

Bodi ya Ligi Kuu Yaridhia ombi la Yanga Kutumia Uwanja wa KMC Complex

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeridhia ombi la klabu ya Yanga kuhusu kuutumia uwanja wa KMC Complex uliopo Kinondoni,...

READ MORE

Trump Aondolewa Mashitaka Yaliokuwa Yakimkabili Mahakamani

 Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameondolewa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili, wakati akielekea kuapishwa kama rais wa 47 wa Marekani...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Kilimanjaro Akamatwa na Polisi Tuhuma za Kupanga Vurugu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, (42), Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa...

READ MORE

Majaliwa Ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa, Kiwengwa Yaibuka Bingwa

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji Absa Bank Tanzania Aibuka Kidedea Tuzo za Watendaji Wakuu Bora 100

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Obedi Laiser, ameibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya mshindi wa pili katika kipengele...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Novemba 26, 2024

  Karibu kusoma kurasa za magazeti ya Leo kupitia @255globalradio na kufuatilia uchambuzi kupitia kipindi cha FRONT PAGE, @godmuya atakupitisha...

READ MORE

Meridianbet Yasimama Kidete Kuadhimisha Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake

Pinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Meridianbet inasisitiza kwa kila mtu kutambua kuwa wanawake ni nguzo muhimu katika jamii...

READ MORE

Mkakati: CCM Kuhitimisha Kampeni Kwa Kishindo

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua....

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Msikiti wa Al Ghath Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi...

READ MORE

Vodacom Kufungua Fursa za Ajira kwa Vijana Milioni 1 Kupitia Uboreshwaji wa Ujuzi wa Kidijitali Barani Afrika

Kundi la makampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana...

READ MORE

Video: Msuva Afunguka Ugumu Wa Maisha Ya Iraq, Kuishi Mbali Na Nyumbani, Ndoto Zimetimia

Msuva amefunguka kupitia GLOBAL TV na kueleza mengi ya kimichezo, kubwa zaidi Msuva amezungumza kwamba klabu ya Yanga SC ndiyo...

READ MORE

Tanzania Yashinda: World’s Leading Safari Destination, Eneo Maridhawa Zaidi Kwa Utalii wa Safari Duniani

Hatimaye baada ya mchuano mkali Tanzania imeibuka kuwa eneo linaloongoza zaidi duniani kwa utalii wa safari (hasa za kuona wanyama...

READ MORE

Mume Wangu Aliniacha Baada ya Kukaa Miaka 6 Kwenye Ndoa Kisa Harufu Kali

Jina langu ni Kathure kutokea kwenye kaunti ya Meru, nilikuwa kwenye ndoa kwa muda wa miaka sita, tulikuwa tunaishi kwa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Za Mkataba Halmashauri Ya Wilaya Ya Biharamulo

amhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo....

READ MORE

Vodacom, Sanlam Investments Wazindua M-Wekeza, Uwekezaji Kupitia Simu

Kampuni inayoongoza katika Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leo wamezindua M-Wekeza,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 25, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Kairuki Yaja na Teknolojia Kutibu Saratani Bila Upasuaji

Dk Fredy Rutachunzibwa wa Kairuki hospitali ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya...

READ MORE

CPA Makalla: Ushindi wa CCM Unatokana na Imani ya Wananchi Kwa Kazi Nzuri

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema CCM...

READ MORE

Dkt. Samia Atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshma ya Uongozi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Jumapili ya Kupoza Moyo na Meridianbet ni Leo

Je unataka kutusua na Meridianbet siku ya leo?. Basi taratibu kabisa ingia kwenye akaunti yako na uanze kutengeneza jamvi lako...

READ MORE