×

Kutoka Oman: Itakuliza! Dada Alia Machozi Akizungumzia Upendo Wa Ajabu Wa Bosi Wake – Video

Kamera ya Global TV bado ipo nchini Oman ambapo leo, mwanadada huyu anayefanya kazi saluni, amesimulia jinsi alivyosafiri kutoka Tanzania...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 95 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Oktoba 13, 2024

Kwa niaba ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Taasisi ya Utafiti wa Tumbaku ya Tanzania (TORITA), Taasisi ya Taifa ya...

READ MORE

Sekta Binafsi ya Ulinzi Yapongezwa Kwa Huduma Bora

Jeshi la Polisi limeeleza kuridhishwa na huduma bora inayotolewa na sekta binafsi ya ulinzi ambayo imesaidia kuendeleza usalama wa raia...

READ MORE

Tanzania, Wataalam wa “Visit Finland” Wabadilishana Uzoefu Kutangaza Utalii Duniani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amekutana na kubadilishana uzoefu wa mikakati ya kutangaza utalii...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azungumza Na Wananchi Wa Pasiansi Mkoani Mwanza – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu akizungumza na Wananchi wa Pasiansi Mkoani Mwanza, leo tarehe 12...

READ MORE

Mwongozo wa Kusimamia Miradi ya Kimkakati Kusaidia Kuongeza Mapato Katika Halmashauri

ILI kukabiliana na changamoto za usimamizi duni wa miradi, ukosefu wa utaalamu wa kutosha miongoni mwa watumishi, kuchelewa kukamilika kwa...

READ MORE

Land Rover Festival Yateka Jiji la Arusha Magari 1000+, Polisi Nao Wamo (Picha +Video)

Msafara wa magari aina la Land Rover kwenye Tamasha la Land Rover 2024 kutokea King’ori kuelekea Viwanja vya Kisongo ambapo...

READ MORE

Sinza Star FC Yaishukuru Meridianbet

Sinza Star FC imepokea kwa furaha msaada wa mipira kutoka kwa Meridianbet, wakitoa shukrani zao za dhati kwa kampuni hiyo...

READ MORE

Mhagama Azindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani, Asema Saratani Imeendelea Kuwa Tishio

WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea...

READ MORE

Sloti ya Rich Panda ndio Mpango Mzima….

Rich Panda, Sloti Mpya inayo patikana kwenye tovuti ya Meridianbet yenye kukupa Msisimko huku ikikupa ushinde mkubwa. Mchezo huu mpya...

READ MORE

TCRA yawahimiza vijana kuchangamkia fursa za kidijitali

  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewahimiza vijana nchini kuchangamkia fursa za kidijitali ikiwemo akili bandia (Artificial Intelligence), kwa kubuni...

READ MORE

Makamu wa Rais na Mwenza Wake Wameshiriki zoezi la Uandikishaji Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki zoezi...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Haijatoa Maagizo Kuwaondoa Kazini Walimu Wa Cheti

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haijatoa maagizo ya kuwaondoa kazini walimu wa cheti bali amewataka watumie mpango wa mafunzo...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 63 Taasisi Mbalimbali Za Umma, UDOM, MOCU, UDSM, IAE, TAEC, CFR

Kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Chuo Kikuu Kishiriki cha Moshi (MOCU), Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam...

READ MORE

Cheza Expanse Kasino Unyakue Mlioo

Unataka kushinda Mliooo/Milioni kazi ni moja tu shiriki shindano la Expanse ambalo linajumuisha michezo mbalimbali ya Expanse, Ambapo utapata fursa...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Wiki Ya Vijana Kitaifa jijini Mwanza – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 11, 2024 amezindua maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa mwaka 2024 inayofanyika katika viwanja...

READ MORE

Rais Ukraine Zelensky Akutana Na Papa Vatican

Papa Francis leo Ijumaa Oktoba 11, 2024 amekutana na kuzungumza na Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ambaye baadaye amepata nafasi...

READ MORE

Dkt. Biteko Aongoza Wananchi Bukombe Kujiandikisha Daftari La Mpiga Kura

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe amewahimiza wananchi...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Zoezi La Undikishaji Kwenye Daftari La Wapiga Kura Wa Serikali Za Mitaa – (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura...

READ MORE

Anza Wikendi Yako Kwa Kubashiri na Meridianbet

Mechi mbalimbali za Mataifa leo zinakupatia nafasi ya kuwa Milionea mabapo ukibashiri na Meridianbet hiyo nafasi inaweza kuwa Yako. Unangoja...

READ MORE