×

Rais Joe Biden: Israel Isishambulie Maeneo ya Nyuklia ya Iran

Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa haungi mkono shambulio katika maeneo ya nyuklia ya Iran kufuatia mashambulizi ya makombora...

READ MORE

TCRA Yasitisha Leseni ya Kampuni ya Mwananchi

  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha kwa muda wa siku 30 leseni za huduma za maudhui mtandaoni za kampuni...

READ MORE

Waziri wa Kilimo Atoa saa 24 kwa RV Kulipa Madeni ya Wakulima

WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe ametoa saa 24 kwa kampuni ya RV inayonunua mazao Masasi mkoani Mtwara kulipa madeni ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 3, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Kamishna Msaidizi Wa Ardhi Morogoro Apiga Marufuku Watendaji Wa Vijiji Kuuza Ardhi Kiholela

Wananchi wa vijiji vya Msolwa Kalengakelo na kitongoji cha Mkuyuni katika kijiji cha Chisano halmashauri ya Wilaya ya Mlimba mkoani...

READ MORE

Waziri Aweso na Wadau Walivyojadili Jinsi ya Kuimarisha Usalama wa Maji Jijini Dar

03 Oktoba 2024, Dar es Salaam, Tanzania: Leo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inaandaa mjadala wa meza ya pande zote...

READ MORE

Meya Songoro Mnyonge Apongeza Wafanyabiashara Masokoni Kutengewa Mkopo wa Bil. 30

Dar es Salaam, 3 Oktoba 2024: Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mstahiki Songoro Mnyonge, ameipongeza Benki ya Biashara ya DCB,...

READ MORE

RC Chalamila “Serikali Imechukua Hatua za Haraka Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Dar”

-Asema Rais Samia amefanya uwekezaji katika sekta ya maji zaidi ya Bilioni 490. -Mitambo ya bilioni 6 kufungwa ili kumaliza...

READ MORE

Stanbic Yatoa Mafunzo ya Masuala ya Kifedha Shule ya Msingi Makulu, Dodoma

Kitengo cha Financial Fitness Academy kilichoendeshwa na Benki ya Stanbic kupitia Biashara Incubator kimefanyika mafunzo katika Shule ya Msingi Makulu...

READ MORE

“Kodi Haina Hiari, Ni Lazima Kwa Kila Mtanzania”-Chalamila

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa wadau wote kuungana kuhakikisha kila mlipa kodi...

READ MORE

Usikubali kukaa kinyonge… Beach Penalties Mkwanja Nje Nje Leo

Usikubali kukaa kinyonge wikiendi hii kwani kuna mchezo mpya wa kasino wa kibabe pale Meridianbet unaitwa Beach Penalties, Mchezo huu...

READ MORE

Kariakoo Dabi ya Wanawake Kupigwa leo KMC, Mwenge

KARIAKOO Dabi ya Wanawake inatarajiwa kupigwa leo Oktoba 2, 2023 Uwanja wa KMC, Mwenge huku timu zote zikitamba kufanya vizuri...

READ MORE

Kiduku Achezea Kichapo Kutoka Kwa bondia wa Ujerumani Juergen – (Picha + Video)

BONDIA wa ngumi za kulipwa hapa nchini anayepigana kwenye uzito wa Super Welter, Twaha Kassim ‘Kiduku’, usiku wa kuamkia Oktoba...

READ MORE

EWURA Yatangaza bei Mpya ya Petroli na Dizeli kuanzia leo Oktoba 2, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo ya bidhaa za mafuta ya Petroli, Dizeli...

READ MORE

Marekani Yasaidia Israel kuyadungua Makombora ya Iran

MAREKANI usiku wa kuamkia leo Oktoba 2, 2024 imetungua makombora ya masafa marefu ya Iran yaliyofyatuliwa nchini Israel, Pentagon imesema....

READ MORE

Aliyeachika Ndoa Mbili Kisa Harufu Kali Aolewa na Mwanaume wa Kizungu

Mrembo Zuwena Stacy, 29, alikuwa na tatizo lililofanya maisha yake kukosa amani. Tatizo hilo ni kuwa mwili wake ulikuwa ukitoa...

READ MORE

Baraza Yatoa rai Kwa Wadau wa Sanaa na Wasanii Kuheshimu Misingi ya Kiungwana

Baraza la Sanaa la Taifa linalaani tukio lililovuriga utumbuizaji wa Mwanamuziki Zuhura Othman (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na...

READ MORE

Iran Yarusha Zaidi ya Makombora 150 ndani ya Israel

Iran Jumanne imefanya shambulizi kubwa la makombora dhidi ya Israel, hatua ambayo inaashiria kusambaa kwa mzozo kati ya Israel na...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Oktoba 2, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Dkt.Nchimbi Ashiriki Mazishi ya Mama Wa Aboubakary Liongo

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo...

READ MORE