×

Rais Dkt. Samia Aendelea Kuonesha Kuwajali Wapambanaji,

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha kuwajali Wapambanaji Kupitia kurasa yake ya instagram, amesoma comments, amejibu, amepongeza na kumuwezesha...

READ MORE

Tatizo la Azam Siyo Kocha ni Wachezaji kushindwa kujituma – Video

Muda mfupi baada ya Azam kutangaza kumfungashia virago kocha wake, Yusuf Dabo, mchambuzi mahiri wa soka Bongo, @salehjembefacts amesema tatizo...

READ MORE

Mchezo wa Kutengeneza Maokoto Kasino, Sloti ya Fairy In Wonderland

Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia...

READ MORE

Rahma Aliyerejea Kutoka Iraq Anapoishi Mazingira Hayarusu Kuishi Binadamu – Video

 Mtanzania aliyekuwa amekwama nchini Iraq alikoenda kufanya kazi za ndani, Rahma amesimulia mateso aliyoyapitia kwa kipindi chote alichokuwa nchini...

READ MORE

Rais wa Urusi, Vladimir Putin Awasili nchini Mongolia kwa ziara

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amewasili nchini Mongolia kwa ziara rasmi, ikiwa ni mara ya kwanza kutembelea nchi hiyo tangu...

READ MORE

Azam Yamtimua Youssouph Dabo Kuanzia leo Septemba 3

BODI ya Wakurugenzi ya Azam FC na kocha, Youssouph Dabo, wamefikia makubaliano ya pande mbili ya kutoendelea kufanya kazi pamoja...

READ MORE

Mchengerwa: DART Hakikisheni Wakazi Wa Dar Wanapata Kadi Janja Za Mabasi Ya Mwendokasi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo...

READ MORE

Hizi ndizo aina za kodi kwa wafanyabiashara na tarehe za malipo yake – TRA wafunguka

 Meneja wa elimu ya Mlimpakodi – TRA CPA – Paul Walalaze amefunguka kupitia kipindi cha Front Page na kueleza...

READ MORE

Rais Samia Awasili China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing...

READ MORE

Idara Ya Uhamiaji Ya Mulikwa Mafunzo Marekani, Washiriki Watoa Dira Kukabiliana Na Changamoto

Mafunzo kwa Shirikisho la askari wa kike na wasimamizi wa sheria duniani yameendelea katika Jiji la Chicago Nchini Marekani ambapo...

READ MORE

Shigongo Afunguka Maajabu Ya Miaka 3 Ya Rais Samia Jimboni Buchosa – Video

Mbunge Eric Shigongo ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maji, Ujenzi wa Visima 15 katika Jimbo la Buchosa ili kuepukana na...

READ MORE

Ajira 351 Tawa Zazua Mtiti Bungeni, Wabunge Wakataa Vigezo, Wacharuka – Video

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Marekani yaikamata ndege ya Rais Maduro wa Venezuela

Marekani imekamata ndege ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, ikidai ilinunuliwa kinyume cha sheria kwa kiasi cha $13m (£9.8m) na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 3,2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 78 Taasisi Mbalimbali Za Umma

  Kwa niaba ya Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Mamlaka ya Maabara ya...

READ MORE

Katika Kuwezesha Ujenzi Bora ALAF, URA SACCOS Zasaini Makubaliano

Dar es Salaam, 3 Septemba 2024: Katika kuhakikisha wanafanya ujenzi ulio bora Kampuni ALAF Limited imesaini makubaliano na chama cha...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa viongozi mbalimbali...

READ MORE

Usiri Juu ya Rushwa ya Ngono Kwenye Vyumba vya Habari Unakomaza Tatizo Hilo

“Nilienda katika chombo fulani cha habari nikiwa na lengo kubwa la kujifunza uhariri wa sauti na video, nilipokelewa na mhariri...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dhamira yake Kuchochea Ukuaji Sekta ya Utalii, Waziri Chana Apongeza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeshiriki kikamilifu kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa ya...

READ MORE

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatoa tahadhari kutokea kwa Upepo Mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa...

READ MORE