×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 28, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Wamiliki wa Shule Binafsi Sasa Kuchagua Benki Au Tigo Pesa Kwenye Malipo ya Ada

Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo kwa kushirikiana na ZMotion wameendesha mafunzo ya siku moja kwa wamiliki na Wakurugenzi...

READ MORE

Waliomuua Kinyama Milembe Wa Geita Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa – Video

Washitakiwa Watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga AU (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 27, 2024 akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi...

READ MORE

Unataka Mkwanja? Upo Meridianbet Leo

Sikia unataka mkwanja? Jibu lako ni Meridianbet ambapo kama utafanikiwa kutengeneza jamvi lako kupitia michezo mikali ambayo itapigwa leo utakua...

READ MORE

Makalla Azindua Shina la CCM Mjimwema Kigamboni, Atoa Ujumbe Mzito

KATIBU wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, ameanza ziara yake ya kichama ya siku...

READ MORE

TPA na TRA Kuimarisha Utendaji wa Bandari Nchini

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa jitihada kubwa za kuimarisha utendaji wa...

READ MORE

CCM Ni Imara Wakati Wote, Tutarajie Ushindi wa Heshma- CPA Makalla

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amoss Makala amewataka wanachama...

READ MORE

Founatin Gate watamba Kuleta ushindani ndani ya ligi

UONGOZI wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa una timu bora ambayo italeta ushindani ndani ya ligi licha ya kuanza kwa...

READ MORE

LHRC Yazindua ripoti ya 10 haki za binadamu na biashara tanzania 2023/24

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeendelea kufanya utetezi wa haki za binadamu katika sekta ya biashara ambapo...

READ MORE

Uwanja wa Jamhuri Dodoma Wapigwa ‘Stop’ Kutumika

Uwanja wa Jamhuri uliopo jijini Dodoma umeondolewa katika orodha ya viwanja vinavyotumika kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC msimu...

READ MORE

Sloti ya Wild 27 Kasino ya Mtandaoni

Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika...

READ MORE

Rais Samia Awasili Nairobi Kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 27, 2024 amewasili Nairobi  kuhudhuria hafla ya...

READ MORE

Simba: Mukwala Atafunga Mabao Mengi Ndani ya ligi

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mshambuliaji wao Steven Mukwala atafanya kazi kubwa ndani ya uwanja kwa kufunga mabao mengi...

READ MORE

Rais Samia Anaondoka nchini kuelekea Kenya kufanya ziara ya kikazi

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 27, 2024 anaondoka nchini kuelekea Kenya ambako anatarajia kufanya ziara ya kikazi baada ya...

READ MORE

Prince Dube Aitwa kwenye kikosi Cha Timu ya Taifa Zimbabwe

Kocha wa timu ya Taifa ya Zimbabwe, Michael Nees ametaja Kikosi cha timu ya taifa hilo huku mshambuliaji wa klabu...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema ili kupata manufaa ya maadhimisho ya wiki...

READ MORE

Adaiwa Kumteka Mtoto Wa Miaka 7 Na Kutaka Kumbaka, Amtishia Kisu – Video

Kijana mmoja ambaye hajafahamika kwa jina amenusurika kuuawa Agosti 25, 2024 katika mtaa wa Nyambwela wilaya ya Temeke jijini Dar...

READ MORE

Augustine Okrah arejea kwenye timu yake ya awali Bechem United

Nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Augustine Okrah amerejea kwenye timu yake ya awali Bechem United inayohiriki Ligi Kuu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 27, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE