×

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Awasili na Kuingia Kwenye Treni – Picha

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ameshawasili na kuingia kwenye treni hapa Stesheni ya treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR)...

READ MORE

Rais Dk. Samia kuzindua mradi wa Reli ya Umeme Dar Es Salaam Hadi Dodoma

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1, 2024 anatarajiwa kuzindua mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) ambao...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Singida

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini...

READ MORE

Waziri Mkuu Afika kuhani msiba wa Theresia Mdee Area D, Dodoma

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Julai 31, 2024 amehani msiba wa Theresia Mdee ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kongwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kufuatia kupokea kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aondoka na Madiwani Wawili Mchinga, Mama Salma Kikwete Anena..

-Awapokea madiwani pekee wa CUF na ACT na wenzao mamia walioamua kujiunga CCM Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt...

READ MORE

Mtu Mmoja Mbaroni Akifanya Biashara Ya Kubadilisha Fedha Bila Kibali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Samwel Mbise...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 1, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Marioo Atoa Onyo Kwa Mtu Anayetumia Jina Lake Kwenye Mtandao Wa X

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayekimpiza kwa sasa na video ya Hakuna Matata, Marioo amesema kuwa hawahusiki na ukurasa wa Mtandao...

READ MORE

Uzinduzi wa Msafara wa Twende Butiama Mwaka 2024 Na Vodacom

Zuweina Farah (kulia), Mkurugenzi wa Mahusiano Vodacom na Vodacom Tanzania Foundation, akizungumza wakati wa uzinduzi wa msafara wa Vodacom Twende...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha CP Jeremiah kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 31, 2024 amemuapisha CP Jeremiah Yoram Katungu...

READ MORE

Dkt Cheni Afunguka Alivyochaguliwa na Rais wa Zanzibar Kusherehesha Harusi ya Mtoto Wao – Video

MSHEREHESHAJI maarufu nchini na Staa wa filamu, Dkt Cheni amefunguka alivyochaguliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na...

READ MORE

Matumaini ya Watanzania Olympic yapo Marathon

Ufaransa ndio nchi ambayo ni mwenyeji wa michuano ya Olympic 2024 michuano ambayo inafanyika kila baada ya miaka minne, Tanzania ni moja ya nchi shiriki…

READ MORE

TCB Yazindua Huduma ya Kifedha kwa Kutumia Simu ya Mkononi

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua huduma ya Popote Akaunti inayomuwezesha mteja kufungua akaunti na kupata huduma za kibenki kidijiti...

READ MORE

Wazee wa CCM Arusha Waridhishwa na Maendeleo Tanga

Ikiwa ni mara ya Kwanza kwa Wazee wa Mkoa wa Tanga na Arusha kufanikiwa kuketi meza moja, Mwenyekiti CCM Mkoa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Kilele Cha Kumbukizi Ya 3 Ya Urithi Wa Mkapa JNICC Dar (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akishiri Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi...

READ MORE

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TANAPA Yapo Hapa

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) anapenda kuwataarifu Waombaji...

READ MORE

TRC Yaomba Radhi Kufuatia Hitilafu ya Umeme Kilosa na Kidete

Shirika la Reli Tanzania (TRC), limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na...

READ MORE

Wajue Generation Z (Gen Z): Watoto Wa 2000 Vinara Wa Maandamano Kenya -Video

GENZ Z au Generation Z yaani Kizazi Z ni kundi ambalo limekuwa maarufu duniani kutokana na kile wanachokifanya nchini Kenya....

READ MORE