×

Mrembo Aliyemuibia Mpenzi Wake Mamilioni Akamatwa Hotelini

Kuna muda mwingine msamaha huchukuliwa kama aina fulani ya udhaifu, na hayo ndio yaliyompata Jones Ouko ambaye anafanya kazi ya...

READ MORE

Waziri wa Fedha, Dk Mwingulu Ataja Takwimu za Kutisha Ajali Barabarani

Waziri wa Fedha, Dk Mwingulu Nchemba ameweka hadharani takwimu za kustaajabisha kuhusu ajali za vyombo vya moto 10,093 zilizosababisha vifo...

READ MORE

Bilioni 136.2 Zimetumika Urejeshaji Wa Miundombinu Barabara Na Madaraja

Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 14, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Sintah Afunguka Umaarufu Unavyomtesa, ”Sitaki Kudeti Na Staa”- Exclusive Video

Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, ambaye hivi sasa ameachana kabisa na mambo ya sanaa, amefunguka...

READ MORE

Bolt Yazindua Kituo Cha Huduma Kwa Madereva Ili Kuimarisha Uhusiano Wao Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Juni 14, 2024: Bolt, Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafirishaji Tanzania na Barani Afrika, imezindua kituo cha...

READ MORE

Heineken Yazindua ‘Afterwork’ By Heineken Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania – 14 Juni 2024 –Wafanyakazi nchini Tanzania walipata fursa ya kipekee ya kupumzika siku ya Alhamisi,...

READ MORE

Balozi Nchimbi Bungeni Akifuatilia Bajeti

Matukio mbalimbali katika picha, yakimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akiwa ndani na...

READ MORE

Uegeshaji wa Malori Mikumi Watajwa Kuchangia Uhalifu, Ajali na Biashara Haramu

 Kutokana na kuwepo na vituo vya uegeshaji magari makubwa ya Mizigo holela wa katika eneo la Mikumi(Kidoma na Green) Wilaya...

READ MORE

Bajeti ya Serikali 2024/2025: Marufuku Kulipa Kwa Fedha za Kigeni – Video

Serikali imeelekeza kuanzia Julai 1, 2024, wadau wote wa ndani, taasisi za umma, wafanyabiashara, asasi za kiraia, mashirika ya kimataifa...

READ MORE

Rais Samia na Wasaidizi wake wafuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali 2024/25

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti...

READ MORE

Waziri Wa Fedha Athibitisha Kutumika Kwa Var Kwenye Ligi Kuu – Video

“Msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania tutaanza kutumia teknolojia ya video za kumsaidia refa (VAR) ili kuhakikisha matokeo yanayopatikana...

READ MORE

Naibu Katibu Mkuu Zuhura Awasili Ofisini Rasmi Mtumba jijini Dodoma

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus amewasili rasmi ofisini na...

READ MORE

Mamilioni Yanakusubiri Meridianbet Cheza Expanse Kasino

Mamilioni ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni yapo yanakusubiri, ile promosheni ya Expanse Tournament sasa mzigo unaongezeka, washindi 40 kujipatia mgao...

READ MORE

Polisi Wamkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda

Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Mbalimbali Ikulu Chamwino, Dodoma

    Rais Samia amemuapisha pia Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na amemuapisha pia Stanslaus Haroon...

READ MORE

Waziri Mkuu: Tunawasaidia Wawekezaji Wazawa Kuwa Mahiri

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili...

READ MORE

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi Afariki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika...

READ MORE