×

Inter Milan vs Como: Nani Atatinga Nusu Fainali Coppa Italia?, Brighton vs Chelsea leo

Michuano ya Coppa Italia kwasasa imefikia hatua ya Robo Fainali ya pili ambapo Inter Milan atamenyana dhidi ya Como 1907....

READ MORE

Operesheni ya Polisi Arusha Yaleta Matokeo, Dawa za Kulevya Zateketezwa

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limetoa taarifa ya mafanikio ya operesheni maalum iliyofanyika mwezi Aprili 2026, ikihusisha kukamata dawa za...

READ MORE

Samia Awapa Nguvu Mama na Baba Lishe, Asema Wanastahili Heshima Kubwa (Picha +Video)

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kutambua na kuheshimu mchango wa Mama Lishe na Baba Lishe katika...

READ MORE

Spika Zungu Amuonya Mbunge Ado Shaibu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Zungu amemuonya Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu Ado kwa...

READ MORE

Apple Music Yamtangaza Moses Luka Kuwa Msanii Mpya wa ‘Up Next’ Afrika Mashariki

APPLE Music imemtangaza muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Moses Luka, kuwa msanii wa awamu mpya kujiunga...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Burudani ya Kipekee Ndani ya Battle for the Throne

Kuna burudani, halafu kuna ile ya Meridianbet inayokuingiza ndani ya simulizi halisi ya ushindi. Hapa naizungumzia Battle for the Throne,...

READ MORE

Jesca Magufuli: Bila Misingi Imara, Mikopo Haitasaidia Vijana – Video

Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Magufuli, ametoa mchango wake bungeni jijini Dodoma akizungumzia masuala ya vijana, ambapo amepongeza jitihada za...

READ MORE

Benki ya Exim Tanzania na Toyota Washirikiana Kurahisisha Upatikanaji wa Magari kwa Watanzania

Dar es Salaam, Tanzania, Aprili 21, 2026: Benki ya Exim Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Toyota wenye lengo...

READ MORE

Trump Atishia Kushambulia Miundombinu ya Iran Tena Ikiwa Hakutakuwa na Makubaliano

Rais wa Marekani Donald Trump ameibua mjadala mkubwa wa kimataifa baada ya kutoa kauli kali akisema Marekani inaweza kuharibu kila...

READ MORE

TPLB Yatoa Adhabu Nzito kwa Simba, TRA United na Azam FC

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza adhabu kwa klabu kadhaa za...

READ MORE

Waziri wa Ujenzi Ajibu Kauli ya William Ruto Kuhusu Barabara

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Tanzania ina mtandao mkubwa zaidi wa barabara kulinganisha na nchi yoyote jirani huku akisifu...

READ MORE

Rangi Gallery Yaitangaza Tanzania Kimataifa Kupitia Sanaa

Jumba la sanaa la Rangi Gallery limeweka historia kwa kuwa la kwanza kutoka Tanzania kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Aitaka Serikali Kuweka Kipaumbele kwa Vijana

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amefanya tathmini ya bajeti ya Wizara ya Vijana iliyowasilishwa leo Bungeni na Waziri Joel Nanauka....

READ MORE

Netanyahu Aagiza Uchunguzi Baada ya Mwanajeshi wa Israel Kuharibu Sanamu ya Yesu

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani vikali tukio lililosambaa mtandaoni likimuonesha mwanajeshi wa Israel akiharibu sanamu ya Yesu Kristo...

READ MORE

Fursa ya Kipekee: Ajira 1000 za Wapishi wa Kiume Nchini Oman

Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na wakala binafsi wa ajira HAIBI inapenda kuwatangazia Watanzania...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

ALAT Yapokea Msukumo Mpya Baada ya NMB Kuchangia Sh Milioni 100

Benki ya NMB imetoa udhamini wa Sh milioni 100 kwa ajili ya kusaidia maandalizi na uendeshaji wa Mkutano Mkuu wa...

READ MORE

Makonda: Acheni Kubeza Nchi, Jengeni Taswira Chanya Kuvutia Fursa.

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imesaini mkataba wa kuwa mwenyeji wa mashindano ya 74 ya Miss...

READ MORE

Mudathir Yahya Afungiwa Mechi 3 Baada ya Kumpiga Mchezaji wa Pamba Jiji

Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefungiwa michezo mitatu pamoja na kutozwa faini ya Tsh milioni 1 baada ya kukutwa na...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Fedha za Muungano Zisaidie Ukarabati wa Barabara Nchini

Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 62...

READ MORE