×

REDMI 17: Simu Mpya ya Xiaomi Yenye Betri Kubwa ya 7500mAh Inayodumu Hadi Siku 3

Xiaomi imezindua rasmi simu mpya za REDMI 17, zikiwa na kivutio kikubwa cha betri kubwa ya 7500mAh iliyowekwa kwenye mwili...

READ MORE

Rais Samia Atoa Ujumbe Mzito Kwa Ndejembi, Baada ya Kiapo – (Video +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempa pole Deogratius John Ndejembi baada ya kuapishwa rasmi...

READ MORE

Ndejembi Aapishwa Kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia Ashuhudia (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshuhudia kuapishwa kwa Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa...

READ MORE

Baada ya Kimya, Mwijaku Amtaka Maua Sama Aachie Muziki Mpya

Mjadala kuhusu kurejea kwa msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama, katika muziki umeibuka upya baada ya mwanahabari na mchambuzi wa...

READ MORE

Kengele Imelia! Pambano la TSh 5M Lafikia Tamati, Usikose Soma Hapa

Muda unakwenda kwa kasi na mashindano ya Expanse: Big Wins Start Here yanaelekea ukingoni. Ikiwa imesalia takribani wiki moja kabla...

READ MORE

Jux Atoa Tamko Kuhusu Madai ya Mtoto “Sheria Kuchukua Mkondo”

Msanii Juma Jux ametoa tamko kwa umma akikanusha madai yanayosambaa yakimuhusisha kuwa baba wa mtoto wa mtu fulani, akisema taarifa...

READ MORE

Kitawaka EPL Wikiendi Hii, Macho Yatakuwa Liverpool, United, Arsenal

Ligi Kuu ya England, Premier League, inaendelea wikiendi hii kwa michezo mbalimbali huku timu kubwa zikitarajiwa kushuka dimbani kuwania pointi...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Kula Samaki na Faida Zake kwa Mwili

Samaki ni miongoni mwa vyakula vinavyopendwa na watu wengi kutokana na ladha yake, lakini zaidi ya kuwa chakula kitamu, samaki...

READ MORE

‘Starrgirl’ Yafanya Makubwa Billboard, Ayra Starr Atoboa Top 4

Mwimbaji wa Nigeria, Ayra Starr, ameendelea kuonyesha nguvu ya muziki wa Afrika katika soko la kimataifa baada ya album yake...

READ MORE

NMB, Bunge Wachochea Hamasa Ya Afcon 2027

  Naibu Spika wa Bunge, Daniel Baran Sillo, amesema Bunge lipo tayari kushirikiana na Serikali katika maandalizi ya AFCON PAMOJA...

READ MORE

Nafasi za Kazi kwa Wanawake – Wahudumu wa Maduka Mlimani City na Posta

Nafasi za kazi zimetangazwa kwa wanawake pekee kwa ajili ya kufanya kazi kama Wahudumu wa Maduka katika maeneo ya Mlimani...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 29, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Exclusive: Saleh Ally Afichua Siri ya Safari Yake Katika Uandishi wa Habari za Michezo – Video

Mwandishi mahiri wa habari za michezo nchini Tanzania, Saleh Ally (@salehjembefacts), amefanya mahojiano maalum (exclusive interview) na Global TV, ambapo...

READ MORE

Video: Wabunge 324 Wamthibitisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

Wabunge 324 wamepiga kura za “Ndiyo” kumthibitisha Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi, kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Thunder Riches: Fortune Eagle, Mchezo Mpya Watingisha Meridianbet

Ulimwengu wa michezo ya kasino umevuka kiwango kingine baada ya kuwasili kwa Thunder Riches: Fortune Eagle, mchezo mpya kabisa unaopatikana...

READ MORE

Doumbia Bado Anajitafuta! Ashindwa Kutamba Dhidi ya Coastal

Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia bado anajitafuta kutokana na kushindwa kufungua ukurasa wa mabao katika mechi 4 za ligi...

READ MORE

Kampeni Ya Tumaini Ya Yas Yaanza Ubungo, Wajawazito Wanufaika

Dar es Salaam, 28 Agosti 2026 – Wajawazito wanaopata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, watanufaika...

READ MORE

Crystal Palace dhidi ya Manchester City Kutimua Vumbi EPL

Leo usiku, saa 22:00, mashabiki wa mpira wa miguu watashuhudia mechi ya kuvutia kati ya Crystal Palace na Manchester City...

READ MORE

Mkuu wa CIA Afanya Ziara ya Siri Moscow, Putin Apewa Onyo Kali

Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), John Ratcliffe, ameripotiwa kufanya ziara ya siri mjini Moscow kwa kutumia ndege...

READ MORE

Rais Samia Atuma Rambirambi Kifo cha Mfalme wa Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa wananchi na Serikali ya Norway...

READ MORE