×

NMB Yabeba Tuzo ya Kampuni Bora Kwenye Sekta ya Fedha Zilizotolewa na OSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner...

READ MORE

Mamlaka ya hali ya hewa nchini Yaonya Kuhusu Kimbunga

Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania (TMA) imatangaza kuwepo kwa mgandamizo mdogo wa hewa ambao unatarajiwa kutawala na kusababisha...

READ MORE

SMZ Yatenga Bilioni 34 Posho Ya Nauli Kwa Wafanyakazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya Hawakujua

 Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake...

READ MORE

Mbunge Shigongo Amlilia Zagalo Wa Nyehunge “Alifanya Kazi Usiku Na Mchana Akijituma”- Video

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu wilaya ya Sengerema Marco Zagalo amezikwa jana Mei Mosi,...

READ MORE

Watu 200 Wapimwa Afya na GGML Maonesho ya OSHA

Na Mwandishi Wetu, Arusha ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

READ MORE

NBC Yashiriki Maadhimisho Mei Mosi Arusha, TUCTA Yaipongeza kwa Udhamini na Huduma Zake

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imeungana na maelfu ya wafanyakazi kote nchini kusherekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya Leo Mei 02, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML

  NA MWANDISHI WETU SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Mhe. Eric Shingo Ashiriki Mazishi ya Kada wa CCM Zagallo, Nyehunge

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu wilaya ya Sengerema Marco Zagalo amezikwa leo Mei Mosi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awapongeza watumishi kwa kazi kubwa wanayoifanya kuwaletea watanzania maendeleo

  Waziri Mkuu Mkuu wa Jamhuri wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na hadhara ya wafanyakazi walikusanyika kushiriki Maadhimisho ya...

READ MORE

RC Makonda Atuma Salam Kwa Rais Samia wananchi wa Arusha wanatambua mchango wake kwenye sekta ya utalii

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amemuomba Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango kumfikisha salamu za wananchi wa...

READ MORE

Drama Huku Zuchu Akihusika Kwenye Makabiliano Makali Na Harmonize Na Mpenziwe Poshy Queen

Drama zimepamba moto huku malkia wa WCB, Zuhura Othman almaarufu Zuchu na mpenzi wa Harmonize, Poshy Queen wakirushiana maneno makali...

READ MORE

Shangweka Kishua na Shindano la Expanse Kasino| Ushindi Umerahisishwa Leo!!

Shangwe limeongezwa na Meridianbet kwa wachezaji wa michezo  ya sloti na kasino  ya mtandaoni, shindano jipya kabisa la Expanse studio...

READ MORE

Makamu wa Rais Amwakilisha Rais Samia Sherehe za Mei Mosi Arusha – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Kampeni Ya Nishati Safi: Oryx Gas Yagawa Bure Mitungi Na Majiko Oryx Kwa Wanahabari

Dar es Salaam: Kampuni ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi ya gesi ya kilo 15 idadi ya 100 yakiwa na...

READ MORE

Azam Yashusha Kiungo Kutoka Mali, Franck Tiesse

KLABU ya Azam imefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) kumsajili kiungo mshambuliaji, Franck Tiesse. kwa mkataba wa miaka...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Mei 1, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 1, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

EWURA Yapata Tuzo Usimamizi Bora Miradi Ya Kimkakati

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepokea tuzo ya mshindi wa pili katika Usimamizi Bora wa...

READ MORE