×

Wale Jamaa Wa Nitumie Hela Namba hii Wadakwa, 11 Waswekwa Gerezani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya...

READ MORE

Wadau Mbalimbali Wakutanishwa Na Puma Energy kwenye Iftar

Dar es Salaam, 28 Machi 2024: KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika Iftar iliyoandaliwa na Kampuni...

READ MORE

Aliyetaka Kuvunjiwa Nyumba Arusha Akubali Kumlipa Mwenzie Mbele Ya Waziri Silaa

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amefanikiwa kumaliza mgogoro wa wakazi wawili ambao ni Victoria Chiwangu...

READ MORE

Usimdharau Usiyemjua, Soma Kisa cha Mke wa Obama na Mpenzi Wake!

Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington katika mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana...

READ MORE

Tsh 100 Inakupa TV, Smartphone na Ushindi Mkubwa kwenye Super Heli Kasino

Shinda zawadi nyingi huku unacheza na kufurahia maajabu ya mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni, Super Heli tena unashinda kwa...

READ MORE

Ajali ya basi yaua watu 45 nchini Afrika Kusini jimbo la Limpopo

Watu 45 wamekufa na mmoja kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuanguka kutoka kwenye daraja nchini Afrika...

READ MORE

Wema Sepetu: Sipendi Misiba Wala Baby Shower, Najisikia Vibaya, Moyo Wangu Mwepesi – #Exclusive Video

Wema Sepetu ambaye ni nyota wa filamu hapa Bongo, ameweka wazi kuwa kamwe hawezi kuacha kumpenda Lola, mpaka mwisho wa...

READ MORE

Zuma akataliwa kugombea urais Afrika Kusini

Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Afrika Kusini Alhamisi walisema kwamba wamemuondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha...

READ MORE

Simba Yamtangaza Waziri Wa Maji Mgeni Rasmi Dhidi Al Ahly Leo

Klabu ya Simba imemtangaza Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kuwa mgeni rasmi wa mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Mashabiki wa Simba Wapata Ajali Chalinze, Pwani

Basi dogo aina ya Costa lililobeba mashabiki wa Klabu ya Simba limepata ajali mapema alfajiri ya leo eneo la Vigwaza...

READ MORE

Wami Ruvu Waunda Kamati Kidakio Cha Mto Ngerengere

Katika kuendelea kuhakikisha vyanzo vya maji vinatunzwa na vinakua salama Bodi ya maji Bonde la Wami/Ruvu imeunda kamati Rasmi ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 29, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Waziri Mkuu Agusa Makubwa Ya Rais Dkt. Samia Katika Kipindi Cha Miaka Mitatu

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imeshuhudia magaeuzi na maboresho makubwa ya kiuchumi, kijamii na kisiasa katika kipindi cha...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti Ya CAG Na Taarifa Ya Utendaji Kazi Ya Takukuru 2022/2023 -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

READ MORE

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Yapata Hasara ya Shilingi Bilioni 56.64

“Kwa mwaka wa fedha 2022/23 Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imepata hasara ya shilingi Bilioni 56.64, sawa na ongezeko la...

READ MORE

Takukuru: Tanzania Yafanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa kwa mwaka 2023

Mapambano dhidi ya rushwa yameendelea kuimarika nchini ambapo Tanzania imepanda kwa nafasi saba juu katika mapambano dhidi ya rushwa kwa...

READ MORE

Hasara ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Yapungua kwa Asilimia 94

“Kwa mwaka wa fedha 2022/23 Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya shilingi Milioni 894. Hasara hii imepungua kwa...

READ MORE

CAG: Deni la Serikali Lafikia Shilingi Trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15%

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere leo Machi 28, 2029 akibidhi ripoti ya utendaji kazi...

READ MORE

PURA Yapongezwa Usimamizi wa Miradi ya CSR

Diwani wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Mhe. Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa...

READ MORE

Takukuru: Miradi 171 Yenye Thamani Ya Sh Bilioni 143.3 Ilikuwa Na Utekelezaji Hafifu

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), CP Salum Hamduni leo Machi 28, 2024 amesema katika...

READ MORE