×

Rais Samia Apokea Ripoti Ya CAG Na Taarifa Ya Utendaji Kazi Ya Takukuru 2022/2023 -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

READ MORE

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Yapata Hasara ya Shilingi Bilioni 56.64

“Kwa mwaka wa fedha 2022/23 Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imepata hasara ya shilingi Bilioni 56.64, sawa na ongezeko la...

READ MORE

Takukuru: Tanzania Yafanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa kwa mwaka 2023

Mapambano dhidi ya rushwa yameendelea kuimarika nchini ambapo Tanzania imepanda kwa nafasi saba juu katika mapambano dhidi ya rushwa kwa...

READ MORE

Hasara ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Yapungua kwa Asilimia 94

“Kwa mwaka wa fedha 2022/23 Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya shilingi Milioni 894. Hasara hii imepungua kwa...

READ MORE

CAG: Deni la Serikali Lafikia Shilingi Trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15%

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere leo Machi 28, 2029 akibidhi ripoti ya utendaji kazi...

READ MORE

PURA Yapongezwa Usimamizi wa Miradi ya CSR

Diwani wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Mhe. Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa...

READ MORE

Takukuru: Miradi 171 Yenye Thamani Ya Sh Bilioni 143.3 Ilikuwa Na Utekelezaji Hafifu

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), CP Salum Hamduni leo Machi 28, 2024 amesema katika...

READ MORE

Halotel yatoa Msaada wa mahitaji ya Chakula na Vifaa vya Nyumbani kwa Wanawake

Katika kuhadhimisha mwezi wa kumsheherekea Mwanamke na kukaribisha sikukuu za Pasaka, Halotel Tanzania imetoa msaada kwa wanawake chini ya Taasisi...

READ MORE

Aggy Baby: Wanawake Wa Elfu 2 Hawana Akili, Makungwi Watoto Serikali Iwafungie

Msanii wa Bongo Muvi na muziki wa Bongo Fleva, Agness Suleiman @Aggybaby_ amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa...

READ MORE

Naibu Waziri Kapinga kuongoza usambazaji wa mitungi ya gesi 10,000 iliyotolewa na Taifa Gas

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameahidi kuongoza kwa ufanisi usambazaji wa mitungi ya gesi takribani 10,000...

READ MORE

Vodacom, CRDB Kuongeza Upatikanaji Wa Simujanja Nchini

Dar es Salaam – Machi 27, 2024. Katika jitihada za kuongeza upatikanaji na matumizi ya simu janja ili kuziba pengo...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary Awasili Nchini Kwa ziara ya Ya siku Mbili

Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary, Mhe. Péter Szijjártó amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Wizara Ya Viwanda Na Biashara Yafanya Mazungumzo Na Wawekezaji Kutoka China

Dar es Salaam, 27 Machi 2024: Wizara ya Viwanda na Biashara imefanya mazungumzo na wawekezaji kutoka nchini China na kuwaonyesha...

READ MORE

Wasanii Walivyojipanga Kuadhimisha Siku Ya Kimataifa Ya Kuigiza Jukwaani

Dar es Salaam 27 Machi 2024: Ikiwa leo Macho 27 ni Siku ya Kimataifa ya Maonesho ya Sanaa ya Kuigiza...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza Rais Aliyeshinda uchaguzi mkuu wa Senegal

Rais Samia Suluhu Hassan, kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, amempongeza Bassirou Diomaye Faye, Rais aliyeshinda uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

Kuelekea Mechi Vs Al Ahly…Simba ‘Wamtupia Fupa La Tembo’ Benchikha

Simba itakuwa na kibarua kigumu Ijumaa ya Machi 29, mwaka huu katika mcheso wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly

READ MORE

TANESCO: hali ya upatikanaji umeme kwa sasa Nchini inaelekea kuzuri zaidi

Meneja maendeleo na Biashara wa Shirika la Umeme Nchini TANESCO, Magoti Mtani amesema kuwa hali ya upatikanaji umeme kwa sasa...

READ MORE

NMB yafuturisha Dar, Waziri Mkuu azitaka Serikali za Mitaa, Taasisi zijifunze Kwao

BENKI ya NMB imewafuturisha wateja wake walio kwenye Mfungo wa Mwezi Ramadhani jijini Dar es Salaam, pamoja na kutoa misaada...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Mgeni Rasmi Kurasa 365

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo ni kilele cha Maadhimisho ya Kurasa 365 za Mama Vol.3...

READ MORE

Kamilisheni Taratibu Za Umiliki Wa Eneo Lilipo Jengo La Kitega Uchumi Kange Ili Lianze Kufanya Kazi – Kamati Ya

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Halmashauri ya Jiji la Tanga kukamilisha taratibu...

READ MORE