×

Suka Mkeka Wako Na Meridianbet Leo

Meridianbet wamjipanga kukutajirisha siku ya leo ambayo imekaa poa sana kwani ligi mbalimbali zinaendelea Duniani. Kuna ODDS KUBWA kuanzia ligi...

READ MORE

Simba na Azam Kushiriki Kombe la Muungano baada ya Miaka 20

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Kombe la Muungano linarejea tena wakati ambao Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Ratiba ya mazishi ya Mtangazaji Gardner G. Habash

Ratiba ya mazishi ya Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash...

READ MORE

Arsenal Yarejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England

Arsenal imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton katika dimba la Molineux....

READ MORE

Mwigizaji Bi Ubwa Wa Zahanati Ya Kijiji Afariki Dunia

Mwigizaji mkongwe nchini Tanzania aliyepata umaarufu zaidi kupitia Tamthiliya Zahanati ya Kijiji, Bi Ubwa amefariki dunia. Kwa mujibu wa mtayarishaji...

READ MORE

RC Makonda Alivyowasili AICC kwa ajili ya kuongoza kikao kazi cha watumishi wa Mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiwasili kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha, kwa ajili ya...

READ MORE

Mawakala Zaidi 200,000 Wakumbushwa Wajibu Wao

KAMPUNI ya simu ya Tigo Tanzania imeendelea kuboresha huduma zake  kwa kukaa pamoja na mawakala na kuwakumbusha jinsi ya kuhakikisha...

READ MORE

Aliyejichoma moto New York nje ya mahakama ya kesi ya Trump afariki

Mwanamme mmoja aliyejichoma moto nje ya mahakama ambako kesi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, inafanyika amefariki dunia...

READ MORE

Waziri Katambi Ateta Na Kamati Ya Maandalizi Kuelekea Sherehe Za Mei Mosi Kitaifa 2024

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana na wenye Ulemavu, Patrobas Katambi (Mb) amekutana na kufanya kikao na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Studio Za Kidijiti Za Redio barabara ya Nyerere Dar

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua studio za kidijiti za redio ikiwa ni sehemu ya mradi wa maboresho ya studio za...

READ MORE

RC Makonda Awaalika Wanaarusha Kushiriki Sherehe Za Mei Mosi 2024 Kwenye Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid

Mkuu wa Mkoa wa Arusha amewaalika wananchi wa Mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani kuungana na Wafanyakaizi wote nchini...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Awasha Moto Dhidi ya Serikali, Apinga Ufisadi – Video

Mbunge wa jimbo la Buchosa ambalo liko wilayani Sengerema, Eric Shigongo ndani ya Bunge la Bajeti katika Wizara ya Utumishi...

READ MORE

Yanga SC yaibuka Mbabe mbele ya Simba SC kwa Mkapa

Wananchi wameendeleza ubabe kwenye ‘Derby’ ya pili ya msimu baada ya kuibuka na ushindi mwingine dhidi ya Watani, Simba Sc...

READ MORE

Promosheni ya Shindano la Expanse na Meridianbet Kasino Sasa ni Ushindi Tu

Ni muendelezo wa mizawadi kibao kutoka Meridianbet, promosheni ya shindano la Expanse sasa inaendelea na unaweza kishinda bonasi za kasino...

READ MORE

Baadhi ya Maeneo Pwani kukosa Umeme Kesho

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wakazi wa Mkoani Pwani katika Wilaya ya Mlandizi kuwa linatarajia kufanya maboresho...

READ MORE

URA SACCOS Yatoa Msaada wa Vifaa Tiba Vyenye Thamani ya Tsh. Mil 235.5 Hospitali ya Polisi Kilwa Road

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi, IGP. Camillus Wambura amepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 235.5...

READ MORE

Jumamosi Yako Itanogeshwa na Meridianbet

Leo hii ODDS zimekaa kijanja sana ndani ya Meridianbet hivyo basi wewe kupiga pesa ni rahisi sana chagua timu zako...

READ MORE

Kuwaheshimisha Mabalozi ni Kukirudisha Chama Kwa Wananchi

> _Awapongeza wana Ruvuma kwa kujitoa kimasomaso kwa mapenzi ya dhati kwa CCM_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapiduzi (CCM)...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Mei 24, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara moja kwa wiki Ijumaa, sasa limekuja kivingine....

READ MORE