×

Kada wa CCM Neema Mghen Achangia Mifuko 50 Ujenzi Wodi ya Wazazi Ushetu

  Kada wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Bi Neema Mghen amechangia mifuko 50 ya Saruji yenye thamani ya shilingi milioni...

READ MORE

Wadau wa Utalii Duniani Wavutiwa Kuwekeza Nchini Tanzania

Kampuni kubwa zinazojishughulisha na masuala ya utalii duniani zimevutiwa kuwekeza nchini Tanzania katika huduma za malazi, usafirishaji na utangazaji utalii....

READ MORE

LSF na ENABEL Wasaini Mkataba wa Billion 10.7 Kuimarisha Huduma ya Upatikanaji Haki nchini

  Legal Services Facility (LSF) na Enabel, shirika la maendeleo la Ubelgiji, wamesaini rasmi mkataba wa ruzuku wa bilioni 10.7...

READ MORE

Miradi Ya Maji Safi, Salama Na Usafi Wa Mazingira Ya SBL Yawawezesha Wanawake

Mwanza 5 Machi: Kampuni ya bia ya Serengeti imeendeleza juhudi zake za kuimarisha upatikanaji wa huduma za maji, usafi wa...

READ MORE

Washindi wa Vuna Na Tigo Pesa Wanufaika Na Zawadi Mtwara

Kampuni ya huduma za mtandao wa simu za mkononi ya Tigo Tanzania imewakabidhi zawadi mbalimbali zikiwemo Televisheni tano, simu janja...

READ MORE

Chama Cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania TWCC Chahimiza Wanawake Kushiriki Tuzo Za Viwanda

Dar es Salaam, 5 Machi, 2024: Chama cha Wanawake WafanyabiasharaTanzania (Tanzania Women Chamber of Commerce -(TWCC) leo kimefanya mkutano na...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha NIT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Chomoka Na Bajaj Ndio Habari Ya Mjini na mizunguka 10 ya bure Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na kampuni inayotoa huduma ya simu za mkononi ya Tigo kupitia huduma yake ya Tigo...

READ MORE

Elon Musk Afunguliwa Kesi ya Madai na Wafanyakazi Aliowafukuza Twitter

Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Machi 6, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Machi...

READ MORE

CUBA na Tanzania Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano Katika Maeneo ya Kimkakati

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Khadija Majanga Amwaga Machozi Akisimulia Mwanaye Alivyofia Swimming – Video

Msanii wa Bongo Muvi, Khadija Majanga amefunguka kwa uchungu jinsi alivyompoteza mtoto wake wa kike, ambaye alifariki kwenye bwawa la...

READ MORE

Blazing Heat Kasino Cheza na Ushinde Sasa

Upungufu wa vitamin C mwilini husababishwa na kutokula matunda kwa wingi na mboga za majani, kuliona hilo Meridianbet wamekuja na...

READ MORE

RC Chalamila Aongoza Kikao Cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 5,2024 ameongoza kikao cha kisheria cha kamati ya...

READ MORE

Beti na Meridianbet Mechi za UEFA Leo

  Leo hii kipute cha Ligi ya mabingwa barani Ulaya kinaendelea kwa michezo ya marudiano ambapo kuna timu zinataka kupindua...

READ MORE

Makonda: CCM Yaungana Na Watanzania Maombolezo Ya Siku 7 Za Msiba Wa Hayati Rais Mwinyi-Video

Katibu wa NEC itikadi na uenezi Paul Makonda amempongeza Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa kazi anayoifanya ya kutatua migogoro...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Apokea Salamu Za Pole Kutoka Kwa CDF na Masauni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Machi 5, 2024 amepokea salamu za...

READ MORE

Zuchu Apigwa ‘Stop’ Kufanya Shughuli za Sanaa Zanzibar

Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha...

READ MORE

Mabosi Azam FC wampa Dube Masharti Mawili Asepe

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa hauna tatizo na mchezaji wao Prince Dube ambaye anahitaji kuondoka ni machaguo mawili...

READ MORE