×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 25, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Wakazi Wa Kibiti Watakiwa Kumuombea Rais Dk Samia

Pwani, 25 Februari 2024: Mbunge wa Jimbo la Kibiti, Twaha Mpembenue amewataka wakazi wa jimbo hilo kumwombea Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Mtambo wa Kwanza Bwawa la Nyerere Waanza Kuzalisha Umeme, Megawati 235 Zaingizwa Gridi ya Taifa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko leo tarehe 25 Februari 2024 ameshuhudia kuwashwa kwa mtambo...

READ MORE

Premier Implementation Business Joins Axum

Steve Kisakye, Winnie Wambugu, and the full staff complement of the entity formerly known as Dalberg Implement, a renowned leader...

READ MORE

Watanzania wafunika Kili Marathon

MBIO za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zimeendelea kuwa kivutio cha watu wengi kiasi cha kufanya shughuli mbalimbali kusimama...

READ MORE

Naibu Waziri Wa Afya Dkt. Mollel Awajulia Hali Majeruhi Wa Ajali Arusha

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel leo Februari, 25, 2024 amewajulia hali majeruhi 21 wa ajali iliyohusisha magari manne...

READ MORE

Watu 25 wafariki dunia huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea Ngaramtoni, Arusha

  Watu ishirini na tano (25) wameafariki dunia huku wengine ishirini na moja (21) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya...

READ MORE

Tigo Kili International Half Marathon Ilivyofana Mjini Moshi Leo

Kilimanjaro, 25 Februari 2024: Mbio za Tigo Kili International Marathon Km 21, leo imetimua vumbi kuanzia kwenye Uwanja wa Chuo...

READ MORE

Wagombe urais Senegal wasusia mazungumzo yaliyopendekezwa na Rais Sall

Wagombea wengi katika uchaguzi ulioahirishwa nchini Senegal na kundi kubwa la jumuiya za kiraia kwa pamoja wamesema siku ya Ijumaa...

READ MORE

Kihenzile Aitaka TAA Kuvunja Mkataba na Mkandarasi

  Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja  vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga...

READ MORE

Yanga wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Wananchi wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi...

READ MORE

Rais Samia Aaga Mwili Wa Aliyekuwa Rais Wa Namibia Hayati Hage (Picha+Video)

 Rais Samia Suluhu Hassan amehudhuria shughuli za mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Kwa Zahanati Ya Kijitonyama

  Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya leo imesambaza upendo maeneo ya Kijtonyama jijini Dar-es-Salaam, Kwani imefika katika Zahanati...

READ MORE

Bashungwa: Lazima Tusanifu Makaravati na Madaraja kwa Umakini

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema iko...

READ MORE

Siku za Ushindi ni Leo, Beti na Meridianbet Sasa

  Ikiwa bado unajiuliza ni wapi ufanya ubashiri wa mechi zako na ujikusanyie maokoto ya maana. Leo Arsenal, City, United,...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Kushiriki Mazishi ya Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora...

READ MORE

Waziri Kairuki Ahamasisha Wadau Kuibua Matamasha Ili Kuchagiza Utalii Nchini

• Mikoa na Wilaya yatakiwa kutangaza utalii na fursa za uwekezaji Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb)...

READ MORE

Kampeni ya Kuelimisha Wanafunzi Kutojihusisha na Unywaji wa Pombe Yafika Kilimanjaro

Wanafunzi wa shule za sekondari wamehimizwa kujiepusha na unywaji pombe chini ya umri ili kujihakikishia wakati wao shuleni na kulinda...

READ MORE

Billnass Ft Mbosso – Number One (Official Music Video)

 Msanii wa Bongo Fleva, Billnass ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Number One’ amemshirikisha Mbosso.

READ MORE

Rais wa Congo, Felix Tshisekedi Atangaza Kumpatia Zawadi Mchezaji Luvumbu Nzinga

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi ametangaza kumpatia zawadi mchezaji Luvumbu Nzinga ambaye ameachana na klabu ya...

READ MORE