×

Mhagama Ateta na Wenyeviti CCM wa Mashina Peramiho

RUVUMA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina...

READ MORE

Gamondi: Tutawapiga Al Ahly huko huko kwao

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema nyota wake wakiongeza umakini eneo la ushambuliaji na kuondoa makosa madogomadogo katika eneo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 27, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Viongozi wa Dini Na Wajasiriamali Mkoani Kilimanjaro Wapatiwa Bure 1,000 Ya Oryx Gas Naibu Waziri Apongeza

KATIKA kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini, Kampuni ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti...

READ MORE

Moses Phiri; Jiwe walilolikataa waashi, anatupia tu Zambia

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Moses Phiri ambaye anakipiga kwa mkopo, Power Dynamos ya Zambia ameiokoa timu yake wakati ikiambulia...

READ MORE

TRA Kuwashughulikia Simba Kabla ya Kukutana na Jwaneng Galaxy

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanatarajia kukipiga na TRA kwenye mchezo wa Azam Sports Federation Jumatano, Februari 28, 2024 kabla...

READ MORE

Simba: Machi 2 tunakwenda kuandika historia nyingine

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amesema, hawajawahi kushindwa mechi za kuamua hatma yao kwenda Robo Fainali....

READ MORE

Mwanajeshi wa Marekani ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel

Mwanajeshi wa jeshi la anga la Marekani aliyejichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington DC amefariki dunia. Mwathiriwa,...

READ MORE

Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) Yaanza Majaribio Dar hadi Mkoani Pwani

Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo Februari 26, 2024 imepita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio...

READ MORE

Ahmed Ally Amshangaa Kamwe Kuzimia Kisa Goli 4 – ”Simba Tushamfunga Mtu Goli 7” – Video

Msemaji wa Simba Sc Ahmed Ally ametupa jiwe kichakani kwa kudai kuwa mara ya mwisho Simba ilifuzu robo fainali mechi...

READ MORE

Kamishina Msaidizi Polisi: Mawazo Mabaya Ni Chanzo Cha Uhalifu

Waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde Jimbo la Magharibi Usharika wa Mpemba Mjini Tunduma wametakiwa kuachana na fikra...

READ MORE

Niliumia Sana Nilipokataliwa na Mwanamke Kisa Umaskini, Ila Sasa Nimejipata

Jina langu ni Shikilo kutokea Rukwa, Tanzania, naweza kusema maskini siku hizi hawapendwi, sisemi kuwa hawana wapenzi, ila dharau tunazokutana...

READ MORE

Kilichomuua Peetah, Msanii Kiongozi wa Kundi la Morgan Heritage ni Hiki

Msanii kiongozi wa Kundi la Reggae la Morgan Heritage, Peter “Peetah” Morgan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 46....

READ MORE

Vodacom Yashinda Tuzo 3 za Huduma Bora Kwa Wateja 2023 Zinazotolewa na CICM

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, mwishoni mwa wiki imetangazwa kuwa mshindi wa tuzo tatu za huduma bora kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 25, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Wakazi Wa Kibiti Watakiwa Kumuombea Rais Dk Samia

Pwani, 25 Februari 2024: Mbunge wa Jimbo la Kibiti, Twaha Mpembenue amewataka wakazi wa jimbo hilo kumwombea Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Mtambo wa Kwanza Bwawa la Nyerere Waanza Kuzalisha Umeme, Megawati 235 Zaingizwa Gridi ya Taifa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko leo tarehe 25 Februari 2024 ameshuhudia kuwashwa kwa mtambo...

READ MORE

Premier Implementation Business Joins Axum

Steve Kisakye, Winnie Wambugu, and the full staff complement of the entity formerly known as Dalberg Implement, a renowned leader...

READ MORE

Watanzania wafunika Kili Marathon

MBIO za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zimeendelea kuwa kivutio cha watu wengi kiasi cha kufanya shughuli mbalimbali kusimama...

READ MORE

Naibu Waziri Wa Afya Dkt. Mollel Awajulia Hali Majeruhi Wa Ajali Arusha

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel leo Februari, 25, 2024 amewajulia hali majeruhi 21 wa ajali iliyohusisha magari manne...

READ MORE