×

Rais Samia: Taifa Lazima Lijipangie Mpango Wa Maendeleo, Ukishindwa Kujipanga, Utapangiwa (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ni lazima Taifa lijipangie mpango maalum wa maendeleo kwa sababu ukishindwa kujipanga, utapangiwa kwa masharti...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Mwenge ya Miamvuli kwa wajasiriamali

  Zamu ya Mwenge jijini Dar-es-salaam sasa ambapo mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamewafikia wakazi wa eneo...

READ MORE

Johnnie Walker Yasimika Sanamu Kusherehekea Miaka 62 ya Uhuru wa Iliyokuwa Tanganyika

Johnnie Walker yaadhimisha miaka 62 ya umoja wa Tanzania kupitia kampeni ya kusisimua, “Keep Walking Tanzania” kwa kusimika sanamu ya...

READ MORE

Walioathirika Na Mafuriko Hanang Wapewa Mitungi Ya Gesi Ya Kupikia Bure Na Oryx

Wakati nchi ikiendelea na maombolezo ya vifo, majeruhi, uharibifu wa mali kufuatia janga la maporomoko ya tope na mafuriko yaliyotokea...

READ MORE

Mshindi wa Shilingi 500,000 wa Maokoto ya Serengeti Akabidhiwa Zawadi Yake Kilosa

Washindi mbalimbali wanaendelea kujishindia maokoto kupitia vizibo, zoezi linaloendeshwa na Kampuni ya Serengeti Breweries. Awamu hii ni zamu ya Martha...

READ MORE

Nyota Simba Waapa Kufa Na Wydad Casablanca ya nchini Morocco leo

MASTAA wa Simba wameapa kupigana kufa na kupona ili kuhakikisha timu yao inapata matokeo mazuri katika mchezo wao wa ugenini...

READ MORE

Rais Putin atangaza kuwania nafasi ya urais uchaguzi wa 2024

Rais wa Russia Vladimir Putin Ijumaa alichukua hatua ya kuongeza muda wa uongozi wake nchini Russia kwa miaka sita zaidi,...

READ MORE

Video: Mama Love Kungwi -“Naishi Nyumba Kodi Yake Milioni 6 Kwa Mwaka -Mimi Ni Maarufu”

Mpaka Home wiki hii imemtembelea Salma Marshed almaarufu @mama_love_kungwi ambaye anafunguka mambo mengi ikiwemo kilichomtoa Kariakoo mpaka kuhamia Ilala ambapo...

READ MORE

Wachimba migodi zaidi ya 400 Afrika Kusini wazuiliwa chini ya ardhi

Waasi wachimba madini wamewazuia wafanyakazi zaidi ya 400 chini ya ardhi siku ya Ijumaa katika mgodi wa dhahabu nchini Afrika...

READ MORE

Wikendi Ndiyo Hiyo Tusua Mapene na Meridianbet

Wikendi ndiyo hii sasa imefika yani ni kula mikeka tuu mwanzo mwisho ukiwa na Meridianbet ambapo kuanzia leo hii Ijumaa...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Desemba 9, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 9, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Barrick: Happy Independence Day Tanzania

DESEMBA 9 ya kila mwaka Taifa linaadhimisha siku ya Uhuru uliopatikana Desemba 9, 1961 na leo Desemba 9, 2023 ni...

READ MORE

Medeama, Yanga Hakuna Mbabe, Mechi Yaisha Kwa Sare Ya 1-1

MAGOLI yaliyofungwa na Jonathan Sowah wa Medeama na Pacome Zouzoua wa Yanga yameziwezesha timu hizo kutoka sare ya goli 1-1...

READ MORE

TANESCO Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Hitilafu ya Umeme Iliyojitokeza leo

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi umma kuhusu hitilafu ya umeme iliyojitokeza leo Desemba 8, 2023 majira ya saa...

READ MORE

Ni Kasino Gani Rahisi Kucheza na Kushinda Meridianbet

Hot Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu...

READ MORE

Tanesco Watoa Tamko Kuhusu Hitilafu Iliyojitokeza Katika Gridi ya Taifa

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu hitilafu iliyojitokeza katika Gridi Taifa leo tarehe 08 Disemba 2023 majira ya...

READ MORE

Medeama Vs Yanga… Dakika 90 Za Afe Kipa, Afe Beki Ghana

MOTO unawaka kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi msimu huu, kumekuwa na matokeo na matukio mengi ya kushangaza....

READ MORE

Chama Akabidhiwa Waarabu Ligi ya Mabingwa Afrika

KUTOKANA na kasi aliyoanza nayo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy akitokea benchi, kuna uwezekano...

READ MORE

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi Abadili Mfumo leo dhidi ya Medeama

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, unaweza kusema amejipata baada ya kubadilisha mfumo wake kutoka kutumia mabeki wa kati wawili...

READ MORE

Kesi ya pili ya jinai yawasilishwa dhidi ya mtoto wa rais wa Marekani Hunter Biden

Waendesha mashtaka wa serikali wamefungua mashtaka ya ushuru dhidi ya Hunter Biden, kesi ya pili ya jinai inayomkabili mtoto wa...

READ MORE